Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Umeandika maneno meengi kuonesha unaiogopa Israel. Netanyahu HAWEZI ku negotiate na gaidi! Negotiation naye ni KUPIGWA tu!
 
Wanajeshi wa Marekani wanafunga mifumo ya ulinzi wa anga huko Israel tayari kwa mapambano.

Mtaomba mno maridhiano jamaa wameamua kukinukisha.
Waziri wa jeshi la US na Waziri wa majeshi ya Israel kwenye maongezi yao ya simu tunaogopa Hezbullah asipige THAAD akaiharibia soko.

Pentagon Hezbullah kwa siku anatoa details mara 24 hapa inaonyesha wako very strong kuliko tulivyo wategemea kila saa moja kuna shambulio hakuna jeshi dunia linaweza kutoa report kila bada ya saa moja Hezbullah ipo very strong.
 
Mleta mada ni mtupu sana kichwani. Amekosa maarifa na uelewa. Riwaya ndefu lakini uwongo mtupu. Hajui masuala ya uchumi, hajui masuala ya kivita wala kidiplomasia. Ametoka usingizini na kuanza kuandika mambo yasiyo na uhalisia.

Hajui kuwa Iran ni kubwa na ina watu wengi kuliko Israel, LAKINI Israel ina uchumi mkubwa kuliko Iran.

In 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion. These differences become even starker when comparing the total value of goods and services produced a year.2 Oct 2024

Hajui kuwa Israel inatengeneza silaha mpaka inaziuzia baadhi ya nchi za kiarabu.

S
Small arms
 
Sawa
 
Hamumjui marekani nyie,ndio yupo nyuma ya vita ya Ukreini,mashariki ya kati,Venezuela aliekoswakoswa ni Mchina pekee and ndio aliebakia Kwa sasa,Kwa Russia alianza na kuisambaratisha Yugoslavia kwakua hataki mtu amzidi,anataka gas,Madini and mafuta kule,the same na mashariki ya kati kuna natural resources zakutosha,90% ya silaha za Israel zimetoka US,the same na Ukreini plus wanajeshi wapo kote.
Power, natural resources plus kuuza silaha ili wapate hela hizo ndio sera za US.
 
Huyu kalewa ugali mkuu hahahah

Bwege mleta mada hahakuna anachojua. Kama anajua kiingereza asome kwanza nukuu hizi hapa chini:

Who is the biggest importer of Israeli weapons?


Trade Balance

In 2022, Israel exported $357M in Weapons. The main destinations of Israel exports on Weapons were United States ($123M), Philippines ($65.7M), India ($41.1M), Thailand ($27.1M), and Spain ($12M).
Does China buy weapons from Israel?


China had looked to Israel for the arms and military technology it could not acquire from the United States, Europe and Russia. Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites.

Why is Israel so powerful?


The prosperity of Israel's advanced economy allows the country to have a sophisticated welfare state, a powerful modern military said to possess a nuclear-weapons capability with a full nuclear triad, modern infrastructure rivaling many Western countries, and a high-technology sector competitively on par with Silicon ...
 
Msiwe mnaropoka bila tafiti.

Ni uwongo mkubwa kusema kuwa eti 90% ya silaha za Israel zinatoka USA.

Does Israel manufacture its own weapons?

Israel has built up its own defence industry with US cooperation, and now ranks as the ninth-largest arms exporter in the world, with a focus on advanced technological products.

Why is Israel's military so strong?


Israel's Defense Forces are known to be one of the most equipped militaries across the globe. Its annual budget exceeds $20 billion and Israel also has access to America's high-tech equipment. Moreover, the cyber capabilities of Israel's military is also commendable.22 Oct 2023.
 
Weee mavi!
 
Wanajeshi wa Marekani wanafunga mifumo ya ulinzi wa anga huko Israel tayari kwa mapambano.

Mtaomba mno maridhiano jamaa wameamua kukinukisha.
Sio wanafunga, sema wanaongeza. Maana mifumo yao ya ulinzi ipo hapo zaidi ya miaka 30, ukijulimsha na mingine ya Ufaransa Ujerumani Uingereza nk. Hilo hata wewe mwenyewe ukiweka unafiki pembeni unalijua. Lakini bado wamepigwa na kitu kizito mara mbili bila kujibu hata mara moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hivyo ni vizuri kumsogelea Ayatullah Khamenei mapema ili kujua siri ya mafanikio yao. Kama wanatumia nini kuwa na uwezo usiowezwa na wale wasiokuwa na vikwazo kama Israel.

Haiwezekani mtu ana vikwazo miaka zaidi ya 50, lakini bado ana nguvu ya kupenya mifumo ya wale waliomuwekea vikwazo hivyo.
 
Hahahah, ngoja ajitoe ufahamu, Huyu kashiba ugali na vidagaa sasa vinaanza kucheza kichwan
Unapongeza Israel iendelee kuwa tegemezi wa kuzitegemea Marekani Uingereza Ufaransa Ujerumani nk NATO kulindwa. Badala ya kujifunza kujitegemea yenyewe kama Iran ambayo imefanikiwa kuwaonesha mabeberu kuwa vikwazo vyao mbele ya wenye akili nyingi kuwa si lolote wala si chochote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Basi ataendelea kuwa mnyonge tu miaka yote. Maana tumeona mifumo yao dhaifu ya Iron Dome na ile ya hao hao washirika wake iliyopo pale Israel imeshindwa kumsaidia kuzuia shambulizi la waliowekewa vikwazo uchwara.
 
Ayatullah hana kiu ya kuifuta Israel, bali ana kiu ya kuona Wapalestina wanapewa haki zao na uhuru wao.

Ingekuwa tatizo ni Israel au waisrael basi angeanza kwanza na wayahudi zaidi ya laki 7 wa Iran. Iran ina raia zaidi ya laki 7 wenye asili ya Israel (wayahudi) na hakuna mtu anaeweza kuthubutu kwenda kuwagusa pale Iran. Maana ukimgusa myahudi wa Iran unakuwa umemgusa moja kwa moja Ayatollah. Hivyo atakuchapa tu. Hata pale Palestina kuna wayahudi lukuki wa kipalestina na hawaguswi na mtu. Tatizo na hawa wanaotumia silaha za Marekani na Ulaya kuwanyanyasa wenzao huko Palestina ndo maana wanachapwa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…