Ushashiba makande naona unajamba tu ushuzi kwenye thread za watu wenye akili.Hizi stori mnazodanganya mizani online ni tatizo hizi ndio akili za kobazi aliyehitimu elimu ya madrasa anamshauri netanyahuu upuuzi kama huu akajisalimishe kwa magaidi wenye kiu ya kuifuta israel wewe ungemshauri Ayattollah ndio ajisalimishe maana yupo kwenye targeti za mosadi
Hawa wavaa makubasi ni wajinga na wapumbavu wa kupindukia! Israel ikiamua kupigana vita na Iran, ndo utakuwa mwisho wa itikadi za kiislamu za Iran kwasababu wataipiga na kuweka serikali yenye mwendo wa magharibi kama ilivyotokea ujerumani na Iraq. Israel ni mlima, Iran ni kichuguu kwenye mizania ya vita.Ni umerukwa na akili au kichaa kimepanda kichwani!!!!
Israel ni ya kujisalimisha kwa Iran ama kweli madrasa ni majanga htr
Wale jamaa hawana masihara kabisa. Iwe mvua, jua, tambarare, bonde, milima wao wapo tu mpaka mnakimbia wenyewe 😂😂😂Ni muda sasa wa Ayatollah kuwashirikisha Afghanistan wale hii show ndio wataimudu wale wanaweza kutembea ata 20years nadhani afanye hivyo
Effects of writing while musterbating!!!Niaje waungwana
Waungwana wenzangu, najua kuna watu wanajiuliza kwamba inawezekanaje mimi nimshauri mtu jeuri kama Benjamin Netanyahu aende akaonane na mtu kiburi kama Ayatollah Khamenei ambae ni adui yake mkuu namba 1 hapa duniani.
Obvious inaweza kuwa ngumu ukizingatia kuwa Netanyahu hataki aonekane kuwa anaenda kuomba poo kwa Khamenei, na pia huenda Khamenei asikubaliane na mpango wake wa kuonana na Netanyahu nk. Lakini ki ukweli ili Netanyahu aisitiri Israel na aweze kuishi kwa amani yeye na wazungu wenzake pale mashariki ya kati basi anahitajika sana kumuona Khamenei, iwe Iran, Saudia, Jordan au popote, wakae chini waombane msamaha, wasahau yaliopita na kukubaliana wagange yajayo kwa pamoja.
Kwanza Israel wakubali kuipatia Palestina uhuru wao, pili wahakikishe kuwa wale wayahudi wenye chuki mbaya hawavuki mipaka iliyowekwa na Umoja wa Mataifa na kwenda kuwatoa kwa nguvu wapalestina, kuwapiga, kuwakamata, na kujenga katika ardhi zao (Palestina) kinguvu kama wanavyofanya sasa hivi, hadi kupelekea Hamas kulipiza uvamizi huo kwa kuteka watu Israel na kuwapeleka kusikojulikana.
Kisha baada ya hapo wapange mipango ya kushirikiana pamoja katika maswala ya kiuchumi, kijeshi, teknolojia na kiintelejensi. Katika ushirikiano huo wa kiuchumi, kijeshi na kiintelejensi nina Imani atakaefaidika zaidi ni muisrael kwa vile muiran yuko far ahead (mbali mno) katika maswala ya kijeshi, kiuchumi kuliko muisrael. Na mifano hai ipo mingi, inaonekana kwa macho na matendo.
Mfano fikiria Iran imewekewa vikwazo vya kiuchumi kwa muda wa miaka zaidi ya 50 lakini hata siku moja hauwezi kusikia kuwa imeomba, au imepewa msaada wa fedha na US,UK wala EU. Pamoja na vikwazo, ukubwa wa nchi na wingi wa population yake lakini jamaa wanasimama wenyewe na kuhakikisha kuwa hakuna janga la njaa kama lile tunalolishuhudia hapo Ethiopia, Somalia, Kenya nk ambapo hakuna kikwazo hata kimoja.
Kwa mambo ya jeshi (ulinzi) ndio kabisa. Nchi ina vikwazo lukuki vya kuizuia kutengeneza hata sindano, lkn jamaa wameweza kutumia akili zao kutengeneza silaha ambazo hadi leo wale walioiwekea vikwazo wanaona aibu. Fikiria mtu umemzungushia mbwa nje ya nyumba yake yote ili afe na njaa, asitoke kutafuta chakula, lakini unashangaa unamkuta sokoni au dukani ananunua chakula huku wewe muweka mbwa ukishindwa kujua kuwa jamaa alipitia wapi hadi kumkuta sokoni au dukani na wakati mbwa wakali bado wameizingira nyumba yake na milango yote imefungwa. Hapo lazima utaona tu aibu badala ya hasira, maana chuki yako kwake inakuwa haijamuathiri kwa lolote 😂😂😂
Leo hii Iran hiyo hiyo ambayo ina vikwazo vya kutengeneza silaha vilivyowekwa miaka zaidi ya 50 iliyopita ndo inayo supply baadhi ya silaha kwa Urusi ili iichape vizuri Ukraine na NATO yao, hadi nchi za magharibi zinapiga kelele na kukimbilia eti kuiwekea vikwazo vingine utafikiri kuwa hivyo ndio vikwazo vya kwanza kuwekewa, kumbe hawajui kwamba jamaa kila wanavyowekewa vikwazo ndio wanavyozidi kuwaongezea akili ya kuwafanya watafute njia za kujilinda zaidi.
Iran hiyo hiyo ambayo imewekewa vikwazo vya silaha bado inatengeneza silaha kibao mpaka zingine ina supply kwa vijana wao Hezbulah, Houth Yemen, shia group Iraq, na zingine wanampa Assad bure zimlinde mpaka leo.
Hii ni tofauti na Israel ambayo haina vikwazo vyovyote vya kutengeneza, kupewa au kuagiza silaha kutoka nje. Lakini bado wamebweteka, wameshindwa kujiongeza, ili siku ikitokea kuwekewa vikwazo vya silaha hata vya mwaka mmoja, basi waweze kujitegemea wenyewe kama wenzao Iran. Toka Dunia iumbwe mpaka leo hatujawahi kusikia Israel imempa mtu au nchi msaada hata wa bomu la kurusha kwa mkono, achilia mbali ndege au kifaru. Israel imekosa silaha hata za kumpa ndugu yao (Ukraine) anaebondwa kila siku na mrusi huko Ulaya. Tunachoona ni yeye kupewa tu sio kutoa. Hii inamaana kuwa jamaa hawana watu wa maana wa kuwatengenezea silaha zao wenyewe za kujilinda. Misilaha yote tunayoona inatumika kuua kina mama na watoto huko Gaza na Lebanon zilitengenezwa Na kuletwa kutoka Ulaya na Marekani kisha wanafunza namna ya kuzitumia. Ndomaana Netanyahu anarusha rusha tu hovyo maana anapewa tu bure, hazitengenezi yeye.
Hivyo wakiwa marafiki na Iran Kisha kuomba kushirikiana katika mambo ya ulinzi, uchumi, teknolojia na intelejensia basi Israel itafaidika, na itakuwa imara maradufu kiasi kwamba hakuna nchi yoyote hapo mashariki ya kati itakayomgusa Netanyahu anaeshirikiana kijeshi na Ayatollah.
Dunia kwa sasa imeshajua kuwa ni nani mbabe wa kweli wa mashariki ya kati kupitia silaha zao wenyewe. Mfano Ayatullah aliwahi kusema mapema tu kuwa Iran ina silaha zake yenyewe zenye uwezo wa kufika mahali popote kuanzia mashariki ya kati, Ulaya na dunia kwa ujumla tena kwa kasi inayoshinda sauti. Watu wakafikiri utani. Sasa kipigo alichotoa juzi ndo kimedhihirisha hilo. Alifyatua mitambo ambayo imesafiri Kilometres zaidi ya 2000 kwa dakika 8 tu, wakati treni ya umeme Dar to Moro inatumia zaidi ya saa 1 na nusu kwa kilometres zisizofika hata 200.
So Netanyahu bado ana muda wa kufanya hivyo mapema, before haujawa too late. Asitegemee sana wazungu ambao wakizidiwa huwa wanakimbia na kuacha kila kitu. Mfano ni hapo Afghanistan. Akishupaza shingo kuna siku atakumbana na mfululizo wa makombora kiasi ya kwamba atashindwa hata kuifikia ndege yake ili apate chance ya kukimbilia Marekani au UK.
Baba wa taifa mwl Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu akishaonja nyama ya mtu basi kuiacha huwa ni ngumu sana. Akimaanisha kuwa mtu huyo ataendelea tu kula nyama ya mtu kama sio dhahiri basi hata kwa kujificha. Hivyo kwa vile Iran ishatest mitambo na kuona kuwa Iron Dome yote ya Israel inavuja, basi hatoacha kuijambisha jambisha ili kuilemaza mifumo ya ulinzi hadi siku dunia itaposhangazwa na tukio ambalo halikufikiriwa kutokea. If you can't beat them just join them ili uwe salama.
Benjamin Netanyahu maji ya shingo, kakutana na mkorofi mwenzake Ayatullah. Yani kama Netanyahu ni kichaa basi Khamenei ni mwendawazimu kabisa. Akisema tutaipiga Israeli basi ujue wataipiga kweli, hata aende sheikh, ustaz, mchungaji au papa kumbembeleza ili asipige yeye atapiga tu, na mzigo utafika vizuri tu kule ulipoagizwa bila kukosea timing au target, kisha Israel na media zao wawe na kazi ya kukanusha na kuficha ukweli wa kipigo.
Kijana acha kuamini upumbavu, maana waliokufundisha huo upumbavu wataendelea kukufanya wewe mpumbavu daima. Kwa ujinga wako unafikiri hapa ni sehemu ya kuja kuandika ujinga alafu watu wakuangalie tu. Look bro.. watu tumeshachoka na vijistory sijui vya makabila 12 nk. Hapa hatupo kanisani, madrasa wala masinagogi. Jenga au tetea hoja kwa mambo yanayoeleweka bila kuingiza yalio kwenye vitabu vya dini ili hata wale wasiokuwa na dini waweze kufaidika. Hayo mambo ya makabila 12 yabaki huko huko kanisani na misikitini.Hawa wavaa makubasi ni wajinga na wapumbavu wa kupindukia! Israel ikiamua kupigana vita na Iran, ndo utakuwa mwisho wa itikadi za kiislamu za Iran kwasababu wataipiga na kuweka serikali yenye mwendo wa magharibi kama ilivyotokea ujerumani na Iraq. Israel ni mlima, Iran ni kichuguu kwenye mizania ya vita.
Labda niwape historia ya Israel. Israel 🇮🇱 asili yake ina makabila 12. Makabila 10.5 yalipotea na hayajulikani yalipo ni kama kizazi chose kilitawanyika katika mataifa ya magharibi hasahasa Marekani na Canada. Israel 🇮🇱 ya sasa imejengwa na kabila moja tu la Yuda na nusu kabila la Benjamin. Vinasaba vya makabila 10 na nusu ulimwenguni ndio wavumbuzi wakubwa wa technologia ya sayansi duniani. Marekani yenyewe ni nchi ya wahamiaji (free land) na uwe na uhakika kwa takwimu za kalenda mataifa yaliyojenga Marekani yalitoka Europe (Ulaya) na ulaya kusini katika nchi zilizopakana na Israel. Mmarekani anamuhitaji Israel kuliko Israel inavyomuhitaji Mmarekani! Athari za ughaidi ziliwahi kuigharimu Marekani kuliko nchi yoyote duniani tukiitoa Israel. Iran ndo nchi pekee iliyojinasibu kufadhiri ugaidi (pasipo shaka) na chini kwa chini wakisaidiwa na Ufaransa.
Tukija kwenye uwanda wa vita, katika mashariki ya kati nchi ambayo ina mfumo wa kulipua ballistic na cruise missile zikiwa hewani na mwenye uzoefu ni Israel. Iran sidhani kama ana missile ngapi za kumudu kupenetrate anga la Israel na kuleta madhara kama vita itaenda kwa mwaka mzima. Iran haina antimisile defence system na hata kama inayo haijawahi fanyiwa majaribio; hivyo huwe na uhakika kila missile ambayo Israel itaituma Iran lazima ifanye mahafa!
Wewe kweli una akili na ni mfuatiliaji mkubwa wa kile kinachoendelea mashariki ya kati.Waziri wa jeshi la US na Waziri wa majeshi ya Israel kwenye maongezi yao ya simu tunaogopa Hezbullah asipige THAAD akaiharibia soko.
Pentagon Hezbullah kwa siku anatoa details mara 24 hapa inaonyesha wako very strong kuliko tulivyo wategemea kila saa moja kuna shambulio hakuna jeshi dunia linaweza kutoa report kila bada ya saa moja Hezbullah ipo very strong.
Mkuu mbona Iran+Hamas+Houth+Hezbollar wote wanahubiri death to America na Death to Israel??Ayatullah hana kiu ya kuifuta Israel, bali ana kiu ya kuona Wapalestina wanapewa haki zao na uhuru wao.
Ingekuwa tatizo ni Israel au waisrael basi angeanza kwanza na wayahudi zaidi ya laki 7 wa Iran. Iran ina raia zaidi ya laki 7 wenye asili ya Israel (wayahudi) na hakuna mtu anaeweza kuthubutu kwenda kuwagusa pale Iran. Maana ukimgusa myahudi wa Iran unakuwa umemgusa moja kwa moja Ayatollah. Hivyo atakuchapa tu. Hata pale Palestina kuna wayahudi lukuki wa kipalestina na hawaguswi na mtu. Tatizo na hawa wanaotumia silaha za Marekani na Ulaya kuwanyanyasa wenzao huko Palestina ndo maana wanachapwa kila siku.
Wewe ni kwamba una uelewa duni au unafanya maigizo ya kutokuwa na akili?Sio wanafunga, sema wanaongeza. Maana mifumo yao ya ulinzi ipo hapo zaidi ya miaka 30, ukijulimsha na mingine ya Ufaransa Ujerumani Uingereza nk. Hilo hata wewe mwenyewe ukiweka unafiki pembeni unalijua. Lakini bado wamepigwa na kitu kizito mara mbili bila kujibu hata mara moja 😂😂😂.
Hivyo ni vizuri kumsogelea Ayatullah Khamenei mapema ili kujua siri ya mafanikio yao. Kama wanatumia nini kuwa na uwezo usiowezwa na wale wasiokuwa na vikwazo kama Israel.
Haiwezekani mtu ana vikwazo miaka zaidi ya 50, lakini bado ana nguvu ya kupenya mifumo ya wale waliomuwekea vikwazo hivyo.
Hizi ni taarifa ambazo hata wewe unaweza kuziandika na kuzichapisha. Ukizingatia kuwa nchi za magharibi ndio zinazoshikilia vyombo vyote vya propaganda. Hata Tz kuna kiongozi aliwahi kusema kuwa jeshi la Tanzania ni miongoni mwa majeshi kumi bora duniani. Hivyo hiyo ni kawaida sana kwenye swala linalohusu propaganda. Sema kumekuwa na utaratibu wa kukubali au kukataa propaganda kulingana na nchi.Mleta mada ni mtupu sana kichwani. Amekosa maarifa na uelewa. Riwaya ndefu lakini uwongo mtupu. Hajui masuala ya uchumi, hajui masuala ya kivita wala kidiplomasia. Ametoka usingizini na kuanza kuandika mambo yasiyo na uhalisia.
Hajui kuwa Iran ni kubwa na ina watu wengi kuliko Israel, LAKINI Israel ina uchumi mkubwa kuliko Iran.
In 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion. These differences become even starker when comparing the total value of goods and services produced a year.2 Oct 2024
Hajui kuwa Israel inatengeneza silaha mpaka inaziuzia baadhi ya nchi za kiarabu.
S
Falsafa ya Iran na makundi yake yote ya kigaidi ni kwamba Wazayuni hawatakiwi kuwepo Duniani, wanatakiwa kuangamizwa.Ayatullah hana kiu ya kuifuta Israel, bali ana kiu ya kuona Wapalestina wanapewa haki zao na uhuru wao.
Ingekuwa tatizo ni Israel au waisrael basi angeanza kwanza na wayahudi zaidi ya laki 7 wa Iran. Iran ina raia zaidi ya laki 7 wenye asili ya Israel (wayahudi) na hakuna mtu anaeweza kuthubutu kwenda kuwagusa pale Iran. Maana ukimgusa myahudi wa Iran unakuwa umemgusa moja kwa moja Ayatollah. Hivyo atakuchapa tu. Hata pale Palestina kuna wayahudi lukuki wa kipalestina na hawaguswi na mtu. Tatizo na hawa wanaotumia silaha za Marekani na Ulaya kuwanyanyasa wenzao huko Palestina ndo maana wanachapwa kila siku.
Upuuzi mtupu.Bwege mleta mada hahakuna anachojua. Kama anajua kiingereza asome kwanza nukuu hizi hapa chini:
Who is the biggest importer of Israeli weapons?
Trade Balance
In 2022, Israel exported $357M in Weapons. The main destinations of Israel exports on Weapons were United States ($123M), Philippines ($65.7M), India ($41.1M), Thailand ($27.1M), and Spain ($12M).
Does China buy weapons from Israel?
China had looked to Israel for the arms and military technology it could not acquire from the United States, Europe and Russia. Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites.
Why is Israel so powerful?
The prosperity of Israel's advanced economy allows the country to have a sophisticated welfare state, a powerful modern military said to possess a nuclear-weapons capability with a full nuclear triad, modern infrastructure rivaling many Western countries, and a high-technology sector competitively on par with Silicon ...
Hivi Neta Nyau aliposema viongozi wa magaidi na wafadhili wao are living dead, au wanaishi kwa muda wa mkopo hawakumwelewa au walidhani anatania.Unaaandika utumbo mrefuuuuuu kutaka kujifariji.
Hatuna muda wakusoma ugaidi na utapeli
Ishu ya kufanya chukueni "p-diddy oil" then Kaeni tuli mliweView attachment 3123507
View attachment 3123508
HahahahahNi umerukwa na akili au kichaa kimepanda kichwani!!!!
Israel ni ya kujisalimisha kwa Iran ama kweli madrasa ni majanga htr