Kama kweli Netanyahu anaipenda Israel na waisrael, basi namshauri aonane na Ayatollah Khamenei haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajamuharibikia

Kwani ayatula mwenyewe yupo wapi
Kama haujui kuwa Ayatullah mwenyewe yupo wapi, hii inamaanisha kuwa haujui pia anatokea nchi gani. So hii mada ni kubwa kwako. Wewe nenda jukwaa la kula tunda kimasihara tu.
 
Achana nae huyo. Mwenzake anaokota habari huko kwa kina gwajima na kuzileta humu bila kuzifanyia utafiti wa kutosha, ilimradi ziwe za kumsujudia Netanyahu tu na genge lake. Yani jamaa anajidhalilisha na kutia aibu sana.
 
Huyo Khemenei mwaka huu hauishi Netanyahu anamla kichwa ili akabikiriwe na Allah mbele huko. Unatishia nyau wayahudi???
Netanyahu anaishi chini ya handaki sasa hivi. Hana amani na furaha kama zamani kwa sababu ya kumhofia Ayatullah.
 
Wavaa kobaz hawataki kuambiwa ukweli kuwa hamas, iran ni magaidi.

Na ili dunia iwe na amani wapumbavu hawa lazima waondolewe

Na bado trump anakuja , watajikojolea hawa , we tulia
Trump alikuwepo na kuondoka bila kuigusa Iran hata siku 1. Kama unazungumzia kuongeza vikwazo hapo sawa, lkn hata hivyo vikwazo vyao havisaidii kitu. Maana jamaa wana akili balaa.
 
Maneno kidogo, vipigo vya kutosha. Kuna watu humu wanaongea utafikiri wapo virabuni tena vibanda vya gongo.
 
Sera ya Israel hairuhusu kuzungumza na Adui.
Ni kupigana naye mpaka mwisho au Adui ajisalimishe.
Ni Jino kwa Jino,Jicho kwa Jicho!
Hahaha Israel wanatafuta ushindi wa picture huko Lebanon kisha changan'yikiwa, mpaa UNIFIL alitaka wamsaidie walipo goma analalamika oh UNIFIL wanawalinda Hezbullah πŸ˜„

Hana jinsi oneni Bollywood movie toka lini adui yako usitake watu wamjue hahaha, katengeneza film ingine ya kihindi oh tumeteka askari wa Hezbullah uwongo mtupu oneni Bollywood movie


View: https://youtube.com/shorts/Ay8lLniGLEY?si=_frYIPa_vS8mVpwg
 
Subiri ayaltolah anyolewe tu.
 
Wanajeshi wa Marekani wanafunga mifumo ya ulinzi wa anga huko Israel tayari kwa mapambano.

Mtaomba mno maridhiano jamaa wameamua kukinukisha.
Ajabu mkiambiwa Israel bila Marekani mweupe kabisa hata wanangu wa 92 hapa ngerengere wanawafyeka mnabisha, wakat wenyewe mnasema Mmarekani kafika kutoa msaada kumkinga mwana mpendwa asipondwe na Muajemi
 
Wewe bakia kushauri kulima pilipili haya mengine waachie wataalam.
 
Kama haujui kuwa Ayatullah mwenyewe yupo wapi, hii inamaanisha kuwa haujui pia anatokea nchi gani. So hii mada ni kubwa kwako. Wewe nenda jukwaa la kula tunda kimasihara tu.
Naona umesoma ili ujibu sio ili uelewe. Mwambie atoke huko mafichoni akutane na myahudi Netanyahu. Ayatula kajichimbia mafichoni
 
Maneno kidogo, vipigo vya kutosha. Kuna watu humu wanaongea utafikiri wapo virabuni tena vibanda vya gongo.
Umesikia kipigo cha leo kambini. Mifumo yote ya ulinzi ya Israel, Marekani, UK, Ujerumani, Ufaransa nk imeshindwa kuizuia drone 1 tu iliyoagizwa kutoka Lebanon na hezbulah.

Shikamoo Iran. Waajemi ni binadam wa kushangaza sana. Vikwazo vyote vile zaidi ya miaka 50 lkn bado tu. Yani mshambuliaji (Iran) anavutwa shati na mabeki zaidi ya watano Israel, Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani nk lakini bado anapiga bao tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Leo wamepigwa kipigo cha kutosha. Drone imeondoka na maisha ya wanajeshi kibao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapo sijazungumzia mamia ya majeruhi.
 
N
Mwisrael kashawahi control ya mabomu na silaha za Iran
Kilichobaki ni kuwalipua na mabomu yao wenyewe ayatollah ana Hali mbaya
Nenda kaomboleze wenzako huko Israel. Leo asubuhi drone imeondoka na maisha ya wanajeshi kibao huko Israel.
Huku Ayatullah akiwa nyumbani kwake masikio baridi anakunywa kahawa kwa raha zake.

Nchi ina amani tele hakuna hata nzi anaevuka anga lake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hwa jamaa wangekaa pamoja hata kufanya mdahalo , dunia ni sehemu ya amani ...Vikundi vya kigaidi visipate nafasi ya kutumia mwanya huu kufanya mashambulizi...Watu washakufa sana kwa sababu ya ujinga .

Ona israel kabaki kulima mazao tu , mda huo pesa kila siku anapaleka kweny vita ...Pia, mtu anaishi kwa kujihami miaka kibao .

Kwa nn wasikae chini wakaelewana? mjadala huru kila mtu atajua tatizo ni nn ?

Wanavyodai ni shambulio la october , wakati kabla ya hao wameua sana wapalestina yaani miezi kadhaa nyuma waliua familia .Wakilipizwa wanaaza kuua watu wasiokuwa na hatia.
 
Subiri ayaltolah anyolewe tu.
Ayatollah analala na kuamka salama kila siku. Hakuna raia wake anaekufa hata kwa baruti ya kibiriti. Wakati huo Netanyahu yeye analala chini ya handaki, familia yake kaikimbizia Marekani.
Leo kuna kipigo kitakatifu ilichopigwa Israel asubuhi ya leo kimeleta kilio kikubwa kwa taifa hilo. Drone 1 tu imeondoka na maisha ya wanajeshi kibao. Huku mifumo ya ulinzi ya Israel, Marekani, Uingereza, Ufaransa Na Ujerumani ikishindwa kuzuia.

Muajemi apewe heshima yake. Maana vikwazo vya kumzuia kutengeneza silaha vimeshindwa kufanya kazi. Huku Netanyahu akimlaumu Macron kwa kuomba nchi yake isipewe silaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…