Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanzanzibar wakiniunga mkono twende serikali moja wakikataa basi bhana serikali 3 haziepukiki!
Mbona kila kukicha tunaanzisha mikoa mipya na wilaya mbona hatuhoji gharama? Na ccm inapeleka makada kuwa wakuu wa mikoa na wilaya mbona hatuhoji?
Kama nikweli hoja kuu tunayo fafanuliwa na CCM ni kuhusu gharama kama tutakubaliana muungano wa serikali 3. Basi nami naungana na Bw. Pasco katika hill la serikali moja. Kwani serikali moja inaleta picha nzuri ya muungano makubaliano katika kuungana kuliko kuwa na serikali mbili, moja ya muungano na upande mwingine unabaki na serikali yake ya awali. Otherwise kuwa na serikali ya muungano, na kama kubakiza serikali za awali basi iwe kwa pande zote.
Asante Mzee Mwanakijiji, nadhani now its high time tuunde pressure group ya serikali moja!. Kama rasimu inapendekeza serikali 3!, CCM imeamua kutupilia mbali maoni ya serikali mbili!, then kama nia ni kuulinda muungano, why not serikali moja?!.Tusikubali kwenda serikali tatu. Kwa vile tumekatazwa kutaka kuvunja Muungano - japo waliotukataza hawana uwezo huo - na kwamba tunaweza kujadili "muundo" bora wa Muungano. Ninawasihi watu wa bara kudai "Serikali moja, taifa moja, na nchi moja". Haya mambo ya serikali mbili nchi mbili au serikali tatu nchi mbili hayaingii kichwani na ni jitihada za kujaribu kuibeba Zanzibar. Wakati umefika tudai uwepo wa serikali moja tu ya kitafa kwenye nchi moja.
Ninafahamu kabisa matokeo ya watu wa bara kutaka hili. Jambo pekee ambalo tusikubali kuuziwa (CCM na upiinzani wanataka hili) ni serikali tatu. Serikali tatu ni mzigo ambao hatuwezi kuubeba na wala hatupaswi kuubeba. Nawasihi wenzangu tukate kuongezewa mizigo. Tuwe na serikali moja, taifa moja na nchi moja. Sasa kama hili lina maana Zanzibar iwe "serikali moja, taifa moja na nchi moja" na bara iwe "serikali moja, taifa moja na nchi moja" basi na iwe.
Tuwasaidie Zanzibar watoke kwenye Muungano kama hawataki serikali moja kwani mbili hawataki na tatu tutajipa mzigo zaidi!
SAY NO TO SERIKALI TATU!!
Iambie tume ya Warioba - hatutaki serikali tatu!!
Wanabodi, hii nimeikuta humu iliandikwa na Mkuu Mzee Mwanakijiji, miala 2 ilyopita!. Kumbe wakati sisi tunazungumza haya leo, wenzetu walizungumza kitambo!.
Asante Mzee Mwanakijiji, nadhani now its high tuunde pressure group ya serikali moja!. Kama rasimu inapendekeza serikali 3!, CCM imeamua kutupilia mbali maoni ya serikali mbili!, then kama nia ni kuulinda muungano, why not serikali moja?!.
Pasco
Nawatakia mapumziko mema ya leo siku ya Muungano.​Wanabodi,
Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya chama tawala, Chama cha Mapinduzi, na tayari wachunguzi wa hesabu za uwiano wa kuwianika wamedhibitisha pasi shaka kuwa endapo uamuzi wa idadi ya serikali utapitishwa kwa kura, then serikali mbili ndio zitapita.
Japo Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba, amewasisitiza wajumbe wa Bunge la Katiba, kuheshimu matakwa ya Wananchi waliopendekeza serikali 3, hivyo kazi ya Bunge la Katiba iwe ni kuboresha tuu na ku rubber stamp matakwa ya Wananchi, lakini sio kuyabadili, kuyapindua au kuyafuta kabisa ili kuilinda hadhi ya Tume yake kuwa imewasikiliza wananchi na kuleta kile wananchi walichotaka, Bunge la Katiba, likipindua, kubadili au kufuta chochote, itakuwa ni kuwadharau wananchi na kuidhalilisha kazi nzuri ya tume yake!.
Mwanasheria nguli nchini, Prof. Issa Shivji, amesema Bunge la Katiba ndio kila kitu!, ndio mwanzo mwisho kabla ya kura ya maoni, hivyo kazi ya Tume ilikuwa ni kupendekeza tuu na Bunge hili lina mamlaka kamili, kukubali mapendekezo ya tume, kuboresha, kukataa, kuyafuta na kuuleta kitu kingine chochote na sheria na kanuni za Bunge la Katiba zinaruhusu.
CCM kwa upande wake imeishatoa msimamo wa kushikilia serikali mbili kama ilivyo sera yake, hivyo kuhakikisha tunapata katiba mpya ya sera ya Chama cha Mapinduzi kwa kisingizio cha kuulinda muungano, hivyo kuutumia vizuri huo mwanya wa uwiano wa kuwianika wa waungaji mkono wake ndani ya Bunge la Katiba.
Mimi nashauri hivi, kama ni kweli CCM ina nia ya dhati ya kuulinda muungano, basi iwahamasishe wajumbe wa bunge la katiba, kuunga mkono hoja mpya kabisa ya Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja!.
Najua hoja hii itapata upinzani mkali toka upande wa Zanzibar, lakini kama CCM iliweza kumshikisha adabu kwa kumuadabisha rais fulani wa Zanzibar, CCM ikaweza kuyaongeza yale mambo ya muungano kutoka 11 ya awali hadi sasa zaidi ya 20, bila kuishirikisha Zanzibar, CCM ikaweza kuvifumua vipengele muhimu sana vya makubaliano ya muungano kwa kumuengua rais wa Zanzibar asiwe Makamo wa Rais bila kuishirikisha Zanzibar, hivyo CCM inaweza kabisa kuamua twende kwenye serikali moja!, hata Zanzibar wapige kelele vipi, tukiamua tumeamua, na kukionekana dalili zozote za kutaka kuichafua hali ya hewa ya kisiasa, dawa ni kuwashikisha tuu adabu kama tulivyokwisha wahi kufanya kule nyuma walipotaka kuuchokoa Muungano wetu huu Adhimu uliosababishwa na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964.
Hili la serikali moja ndio Muarobaini pekee wa matatizo yote kabisa ya Muungano, na ili kuepuka kumeza Zanzibar, Tunaigeuza Tanzania kuwa ni Federal Union Republic of Tanzania, yenye majimbo mawili la Bara na Zanzibar, haya majimbo yataongozwa na Magavana!. Tukiona hii nayo ni ngumu, then tutakuwa hatuna jinsi, Zanzibar igeuzwe tuu kuwa Mkoa mpya wenye wilaya mbili za Pemba na Uguja!. Full Stop!, Mwisho wa matatizo!.
Na huku ndiko kutakuwa kumuunga mkono Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere aliposema
Wanabodi, hii nimeikuta humu iliandikwa na Mkuu Mzee Mwanakijiji, miala 2 ilyopita!. Kumbe wakati sisi tunazungumza haya leo, wenzetu walizungumza kitambo!.
By Mzee Mwanakijiji![]()
Tusikubali kwenda serikali tatu. Kwa vile tumekatazwa kutaka kuvunja Muungano - japo waliotukataza hawana uwezo huo - na kwamba tunaweza kujadili "muundo" bora wa Muungano. Ninawasihi watu wa bara kudai "Serikali moja, taifa moja, na nchi moja". Haya mambo ya serikali mbili nchi mbili au serikali tatu nchi mbili hayaingii kichwani na ni jitihada za kujaribu kuibeba Zanzibar. Wakati umefika tudai uwepo wa serikali moja tu ya kitafa kwenye nchi moja.

Nchi Moja,
Rais Mmoja,
Serikali Moja!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Pasco.
Nadhani now its the most opportune time, twende kwenye serikali moja kuimarisha muungano wetu.&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];Wanabodi,

Paskali
Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza naunga mkono hoja ya nchi moja, serikali moja chini ya rais mmoja.One Nation, One Country or Separation - Taifa Moja, Nchi Moja au Utengano!
Hili lipigiwe kura kabla hatujaamua juu ya Katiba Mpya kwani hatuwezi kuwa na Katiba Mpya bila kuamua suala la Muungano. Suala la Muungano ni zito na kubwa sana sawasawa kabisa na suala la Katiba Mpya. Muungano lazima ujadiliwe in light ya kuandikwa kwa Katiba Mpya.
Mkuu DASM , siku zote humu jf, mimi ni mkweli Daima kwa kuusema ukweli uliopo no matter what. Nimeandika mengi kuhusu muungano. Hili ni moja ya mabandiko hayo.wewe unasema Elimu ya Uraia ni muhimu.Ni muhimu kweli ili watu wafunguke akili.. Nafikiri ni mtu mpumbavu tuu anayekubaliana na muundo wa huu Muungano. Marehemu Mch Christopher Mtikila ndio pekee aliweza kuudadavua huu Muungano unavyoiathiri Tanganyika. Nafikiri Mzee Pascal Mayala unazo akili na unaelewa vizuri Sana kuhusu hii ishu ya Muungano Ila unataka kubase upande.
Wanabodi,
Mimi nashauri hivi, kama ni kweli CCM ina nia ya dhati ya kuulinda muungano, basi iwahamasishe wajumbe wa bunge la katiba, kuunga mkono hoja mpya kabisa ya Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja!.
Najua hoja hii itapata upinzani mkali toka upande wa Zanzibar, lakini kama CCM iliweza kumshikisha adabu kwa kumuadabisha rais fulani wa Zanzibar, CCM ikaweza kuyaongeza yale mambo ya muungano kutoka 11 ya awali hadi sasa zaidi ya 20, bila kuishirikisha Zanzibar, CCM ikaweza kuvifumua vipengele muhimu sana vya makubaliano ya muungano kwa kumuengua rais wa Zanzibar asiwe Makamo wa Rais bila kuishirikisha Zanzibar, hivyo CCM inaweza kabisa kuamua twende kwenye serikali moja!, hata Zanzibar wapige kelele vipi, tukiamua tumeamua, na kukionekana dalili zozote za kutaka kuichafua hali ya hewa ya kisiasa, dawa ni kuwashikisha tuu adabu kama tulivyokwisha wahi kufanya kule nyuma walipotaka kuuchokoa Muungano wetu huu Adhimu uliosababishwa na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964.
Hili la serikali moja ndio Muarobaini pekee wa matatizo yote kabisa ya Muungano, na ili kuepuka kumeza Zanzibar, Tunaigeuza Tanzania kuwa ni Federal Union Republic of Tanzania, yenye majimbo mawili la Bara na Zanzibar, haya majimbo yataongozwa na Magavana! Tukiona hii nayo ni ngumu, then tutakuwa hatuna jinsi, Zanzibar igeuzwe tuu kuwa Mkoa mpya wenye wilaya mbili za Pemba na Uguja! Full Stop! Mwisho wa matatizo!
Asante Mzee Mwanakijiji, nadhani now its high tuunde pressure group ya serikali moja!. kama nia ni kuulinda muungano, why not serikali moja?!.
Nchi Moja,
Rais Mmoja,
Serikali Moja!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
Mkuu Lycaon pictus, angalia tarehe ya bandiko hili.Mkuu Pascal unamaanisha unachoongea, au unaongea ili watu fulani waone msimamo wako?
My badMkuu Lycaon pictus, angalia tarehe ya bandiko hili.
P
Naunga mkono hoja. Mfano kipi rahisi Zanzibar kuwa na mwana chama FIFA au kuungana na Tanzania Kama Timu moja,Hakuna kisichowezekana chini ya jua! kama mwanzo tuliweza kwa nini sasa tushindwe?
Pasco
Wanabodi,Wanabodi,
Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya chama tawala, Chama cha Mapinduzi, na tayari wachunguzi wa hesabu za uwiano wa kuwianika wamedhibitisha pasi shaka kuwa endapo uamuzi wa idadi ya serikali utapitishwa kwa kura, then serikali mbili ndio zitapita.
Japo Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba, amewasisitiza wajumbe wa Bunge la Katiba, kuheshimu matakwa ya Wananchi waliopendekeza serikali 3, hivyo kazi ya Bunge la Katiba iwe ni kuboresha tuu na ku rubber stamp matakwa ya Wananchi, lakini sio kuyabadili, kuyapindua au kuyafuta kabisa ili kuilinda hadhi ya Tume yake kuwa imewasikiliza wananchi na kuleta kile wananchi walichotaka, Bunge la Katiba, likipindua, kubadili au kufuta chochote, itakuwa ni kuwadharau wananchi na kuidhalilisha kazi nzuri ya tume yake!
Mwanasheria nguli nchini, Prof. Issa Shivji, amesema Bunge la Katiba ndio kila kitu!, ndio mwanzo mwisho kabla ya kura ya maoni, hivyo kazi ya Tume ilikuwa ni kupendekeza tuu na Bunge hili lina mamlaka kamili, kukubali mapendekezo ya tume, kuboresha, kukataa, kuyafuta na kuuleta kitu kingine chochote na sheria na kanuni za Bunge la Katiba zinaruhusu.
CCM kwa upande wake imeishatoa msimamo wa kushikilia serikali mbili kama ilivyo sera yake, hivyo kuhakikisha tunapata katiba mpya ya sera ya Chama cha Mapinduzi kwa kisingizio cha kuulinda muungano, hivyo kuutumia vizuri huo mwanya wa uwiano wa kuwianika wa waungaji mkono wake ndani ya Bunge la Katiba.
Mimi nashauri hivi, kama ni kweli CCM ina nia ya dhati ya kuulinda muungano, basi iwahamasishe wajumbe wa bunge la katiba, kuunga mkono hoja mpya kabisa ya Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja!.
Najua hoja hii itapata upinzani mkali toka upande wa Zanzibar, lakini kama CCM iliweza kumshikisha adabu kwa kumuadabisha rais fulani wa Zanzibar, CCM ikaweza kuyaongeza yale mambo ya muungano kutoka 11 ya awali hadi sasa zaidi ya 20, bila kuishirikisha Zanzibar, CCM ikaweza kuvifumua vipengele muhimu sana vya makubaliano ya muungano kwa kumuengua rais wa Zanzibar asiwe Makamo wa Rais bila kuishirikisha Zanzibar, hivyo CCM inaweza kabisa kuamua twende kwenye serikali moja!, hata Zanzibar wapige kelele vipi, tukiamua tumeamua, na kukionekana dalili zozote za kutaka kuichafua hali ya hewa ya kisiasa, dawa ni kuwashikisha tuu adabu kama tulivyokwisha wahi kufanya kule nyuma walipotaka kuuchokoa Muungano wetu huu Adhimu uliosababishwa na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964.
Hili la serikali moja ndio Muarobaini pekee wa matatizo yote kabisa ya Muungano, na ili kuepuka kumeza Zanzibar, Tunaigeuza Tanzania kuwa ni Federal Union Republic of Tanzania, yenye majimbo mawili la Bara na Zanzibar, haya majimbo yataongozwa na Magavana! Tukiona hii nayo ni ngumu, then tutakuwa hatuna jinsi, Zanzibar igeuzwe tuu kuwa Mkoa mpya wenye wilaya mbili za Pemba na Uguja! Full Stop! Mwisho wa matatizo!
Na huku ndiko kutakuwa kumuunga mkono Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere aliposema.
Wanabodi, hii nimeikuta humu iliandikwa na Mkuu Mzee Mwanakijiji , miaka 2 iliyopita! Kumbe wakati sisi tunazungumza haya leo, wenzetu walizungumza kitambo!
By Mzee Mwanakijiji![]()
Tusikubali kwenda serikali tatu. Kwa vile tumekatazwa kutaka kuvunja Muungano - japo waliotukataza hawana uwezo huo - na kwamba tunaweza kujadili "muundo" bora wa Muungano. Ninawasihi watu wa bara kudai "Serikali moja, taifa moja, na nchi moja". Haya mambo ya serikali mbili nchi mbili au serikali tatu nchi mbili hayaingii kichwani na ni jitihada za kujaribu kuibeba Zanzibar. Wakati umefika tudai uwepo wa serikali moja tu ya kitafa kwenye nchi moja.
Ninafahamu kabisa matokeo ya watu wa bara kutaka hili. Jambo pekee ambalo tusikubali kuuziwa (CCM na upiinzani wanataka hili) ni serikali tatu. Serikali tatu ni mzigo ambao hatuwezi kuubeba na wala hatupaswi kuubeba. Nawasihi wenzangu tukate kuongezewa mizigo. Tuwe na serikali moja, taifa moja na nchi moja. Sasa kama hili lina maana Zanzibar iwe "serikali moja, taifa moja na nchi moja" na bara iwe "serikali moja, taifa moja na nchi moja" basi na iwe.
Tuwasaidie Zanzibar watoke kwenye Muungano kama hawataki serikali moja kwani mbili hawataki na tatu tutajipa mzigo zaidi!
SAY NO TO SERIKALI TATU!
Iambie tume ya Warioba - hatutaki serikali tatu!!
Asante Mkuu Mzee Mwanakijiji, nadhani now it's high time tuunde a pressure group ya serikali moja!. Kama rasimu inapendekeza serikali 3!, CCM imeamua kutupilia mbali maoni ya serikali mbili!, then kama nia ni kuulinda muungano, why not serikali moja?!.
Nchi Moja,
Rais Mmoja,
Serikali Moja!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
eo ni Sikukuu ya Muungano, nachukua fursa hii kuutafakari Muungano wetu adhimu, kupitia hoja mbalimbali za kimuungano.Wanabodi,