Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Mungu wao atawapambania sasa hivi tukemee upuuzi wa watu kutafuta pesa by all means na kuachana na utu na ubinadamu
 
Huyu padri, alishakuwa na makosa mengi ya kinidhamu katika utumishi wake. Kutokana na hilo, ameishaonywa na kuhamishwa mara nyingi. Huko Bugandika alianza ulevi sana. Kufikia mpaka anabebwa kurudishwa Parokiani kwa ajili ya ulevi. Kwa hiyo akishakengeuka.
 
Back
Top Bottom