Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Hao ni walevi tu wa Imani lakini Mimi kama mkristo na mzalendo wa utu namkuhukumu huyo paroko kifo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni walevi tu wa Imani lakini Mimi kama mkristo na mzalendo wa utu namkuhukumu huyo paroko kifo
Za teja na za parokoPicha zao wakina nani?
Unamfahamu vizuri? Na je, unaufahamu uhusika wake kwenye tukio?Hao ni walevi tu wa Imani lakini Mimi kama mkristo na mzalendo wa utu namkuhukumu huyo paroko kifo
naona wafuasi wa roma wanahaha mbaya kwani hata huyo paroko naye c binadamu anaweza fanyaSalaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
kwani waroma kwao ulevi c kawaida tu wakati mapadri wanakuwa na ma-grocery yao kabisaSio paroko ni mlevi mmoja wa ngedule
ahahaaa umekuwamkali au unataka kunukuu katekisimu ya imani ya kanisa inayosema tetea imani ya kanisa takatifu la katoliki la roma mpaka kufaWewe ni mkristo mkatoliki ?
katelezaParoko kaingia kimakosa eti eeh ?
Kasome ripoti ya polisiUnamfahamu vizuri? Na je, unaufahamu uhusika wake kwenye tukio?
Acha kutetea UJINGA PADRE naye ni binadamu sio malaika mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa katoliki aliyekanusha kwamba jamaa hausikiSalaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Sasa ulitaka Polisi wakawapangie mahali pa kuwapeleka???Sasa huko Kagera mapadre wote ni wenyeji wa huko huko , maana naona Majina ni ya huko huko
Sijaongerea PorisiSasa ulitaka Polisi wakawapangie mahali pa kuwapeleka???
Paroko ametuvua Nguo tuchutame tu wadau
Maana yake alikuwa Paroko mpaka ana Naini ka Kwenye Uhalifu huo Na sio zile blahblah eti oooh mraibu sijui nini Ushuzi mtupuKeshasimamishwa kutoa huduma zote za kiroho na kiongozi wa jimbo mhashamu askofu Mwijage mpaka pale taratibu za kisheria zitakapokamilika na taratibu zingine zitafataView attachment 3022093View attachment 3022094
Umeangalia taarifa ya habari?🤣
Tutawaambia nini waumini wetuSalaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Tutawaambia shoka limekwisha nolewa kila mmoja ajiandaeTutawaambia nini waumini wetu
Walikurupuka