Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kuna sabaya mwingineNani mwingine fafanua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sabaya mwingineNani mwingine fafanua
Waweza kuta una miaka zaidi ya 30, Tz bado sana kwa sababu ya kuwa na raia kama wewe.Kama watu waliwekwa chini ya ulinzi na kupigwa. Uchunguzi wa nini?
Kwa hiyo unampangia Raisi nini cha kufanyaKama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana.
Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa tuhuma ya kufanya biashara ya fedha za kigeni bila kibari. Diwani Msangi alipigiwa simu na ndugu Ally Saady ili akatoea msaada.
Inasadikiwa vijana waliowekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake walipigwa kipigo kikali na baadhi yao kujisadia haja kubwa na ndogo na kujeruhiwa vibaya. Diwani Msangi alipofika kutoa msaada nae alipata kichapo.
My take; kama hizi tuhuma ni kweli leo hii Sabaya akamatwe na jumatatu afikishwe mahakamani. Asipofikishwa mahakamani basi tunajua ni unafiki wa kisiasa unaendelea.
hivi ndivyo inavyopaswa kuwa ,ndo maana hatuelewi masheikh wa uamsho wanafanya nnMkuu huwezi kumkamata suspect(s)bila ya kumfungulia mashitaka na polisi kufanya uchunguzi ili kuthibitisha tuhuma na mwishowe DPP to apply mind kuona kama kuna winnable case,sio vema kukamata watuhumiwa na kuwaweka mahabusu wakati upelelezi bado haujafanyika,kama una uchungu na hizi tuhuma mshauri huyu Diwani akafungue kesi polisi.
Ukiwa CCM unaua hadharani, unasishwa kupisha uchunguzi. Kisha unaachiwa huru.Huu ukweli mbona wahusika walikuwa hawaujali? Mkuu wa Mkoa alimkemea hadharani kuwa asiwasweke watu ndani bila kufuata utaratibu lakini alimpuuza. Akae ndani kama ilivyo ada kwa wengine wakati uchunguzi unaendelea.
Tena kwenye hili lenye mashahidi kibao wala hafurukuti. Na hao vijana aliokuwa anawatumia hawatakawia kumuachia mzigo.
Alionywa sana lakini hakutaka kusikia. Sasa ni wakati wa kuvuna alichopanda.
Amandla...
Mkuu tuishi kisheria how polisi wafanye upelelezi bila ya docket?Diwani ndio anayeona amefanyiwa ukatili huu na suspect,ni wajibu wake kwenda police post na kufungua mashitaka.Kosa la jinai alafu Diwani afungue kesi? Anyway naanza kupata picha huenda Sabaya anasingiziwa.
Visasi sio vema unanikumbusha era ya mwendazake,tuishi kwa kuheshimu wajibu wa kisheria,our President Samia ameshaonyesha nia ya kuifanya nchi yetu iwe ina heshimu sheria zake.Huu ukweli mbona wahusika walikuwa hawaujali? Mkuu wa Mkoa alimkemea hadharani kuwa asiwasweke watu ndani bila kufuata utaratibu lakini alimpuuza. Akae ndani kama ilivyo ada kwa wengine wakati uchunguzi unaendelea.
Tena kwenye hili lenye mashahidi kibao wala hafurukuti. Na hao vijana aliokuwa anawatumia hawatakawia kumuachia mzigo.
Alionywa sana lakini hakutaka kusikia. Sasa ni wakati wa kuvuna alichopanda.
Amandla...
I understood you ila hatuwezi kufanya uhalifu huu kuwa ni sehemu ya maisha yetu,hatuwezi kuhalalisha haya mkuu wangu na sio mabaya mawili yanatengeneza jambo moja jema!"sio vema kukamata watuhumiwa na kuwaweka mahabusu wakati upelelezi bado haujafanyika"
Mkuu mbona watu tumekaa sana mahabusu kwa kunyimwa dhamana na upepelezi haujakamilika ?? Mkuu hizi sheria labda huwa wanafanyiana favour kutegemeana na mtu.
Mpaka sasa kuna watu wanateseka mahabusu na uchunguzi bado haujakamilika. Na baada ya uchunguzi akikutwa hana hatia hana lolote la kudai na muda wake aliopotezewa.
Hii nchi ukitaka kuishi vema nimegundua tafuta pesa na power. Masuala ya sheria ni upuuzi. Hatuna wafanyakazi wazalendo wengi wapo kimaslahi. Nimeyaona mengi polisi, rushwa ipo na kamwe hakuna kiongozi wa kuja kukomesha rushwa hii nchi.
KWA iyo wale waliomahabusu miaka minne ,8 ni sio binadam ,nae akae KWA taratibu zilezile wakati uchungunzi unaendelea, lahana Sana huyu jamaaMkuu huwezi kumkamata suspect(s)bila ya kumfungulia mashitaka na polisi kufanya uchunguzi ili kuthibitisha tuhuma na mwishowe DPP to apply mind kuona kama kuna winnable case,sio vema kukamata watuhumiwa na kuwaweka mahabusu wakati upelelezi bado haujafanyika,kama una uchungu na hizi tuhuma mshauri huyu Diwani akafungue kesi polisi.
Zamu yako inakuja kijana toka kolomijeKama watu waliwekwa chini ya ulinzi na kupigwa. Uchunguzi wa nini?
Ameshafikishwa vipi kuna jingine Tena unataka ndugu yangu?Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana.