Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili
Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi kulalamikia rafu anazocheza simba jibu ni hapana mfano mechi ya pamba vs simba pamba walinyimwa goli lao la halali kabisa hatukusikia mashabiki wa simba wakilalamikia goli badala yake walikuwa wanashangilia ushindi
Aden rage ni kiongozi wa Tabora united mda huo ni shabiki lia lia wa simba kabla ya ligi tumeoma vibali vya wachezaji wa kigeni wa tabora vikicheleweshwa maksudi ili tu vitolewe baada ya mechi ya simba kupita na walifanikiwa mzunguko wa pili wakataka kufanya mchezo ule ule watu wakalalamika sana wakavitoa kwa shinikizo lakin lengo ni kuvitoa baada ya mechi ya simba vs tabora kupita hatukuona mahali popote mashabiki wa simba wakilalamikia bali walifurahia ushindi
Kocha wa Yanga aliyeondoka alisema ligi yetu inakosa intensity watu wakamkebehi cha ajabu baada ya matokeo ya jana baadhi ya watu wakamuunga mkono
Yako mengi sana point yangu sio kuitetea Yanga na kuiponda simba hapana bali kama kweli tunataka usawa kwenye ligi yetu tuache unafki na double standard