Kama kweli tunataka ligi isiwe na mapinde kama haya basi tuache unafki kwanza na double standards kemea kote

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili

Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi kulalamikia rafu anazocheza simba jibu ni hapana mfano mechi ya pamba vs simba pamba walinyimwa goli lao la halali kabisa hatukusikia mashabiki wa simba wakilalamikia goli badala yake walikuwa wanashangilia ushindi

Aden rage ni kiongozi wa Tabora united mda huo ni shabiki lia lia wa simba kabla ya ligi tumeoma vibali vya wachezaji wa kigeni wa tabora vikicheleweshwa maksudi ili tu vitolewe baada ya mechi ya simba kupita na walifanikiwa mzunguko wa pili wakataka kufanya mchezo ule ule watu wakalalamika sana wakavitoa kwa shinikizo lakin lengo ni kuvitoa baada ya mechi ya simba vs tabora kupita hatukuona mahali popote mashabiki wa simba wakilalamikia bali walifurahia ushindi

Kocha wa Yanga aliyeondoka alisema ligi yetu inakosa intensity watu wakamkebehi cha ajabu baada ya matokeo ya jana baadhi ya watu wakamuunga mkono

Yako mengi sana point yangu sio kuitetea Yanga na kuiponda simba hapana bali kama kweli tunataka usawa kwenye ligi yetu tuache unafki na double standard
 
Tuna wangalia tu wanavyo tupigia kelele kwa mechi ya JKT Ruvu,Dodoma Jiji,Mechi ya Azam zote zilitakiwa kuwa droo.

Double std kwenye ligi yetu haziepukiki, kila mtu anavutia kwake,ila mara nyingi timu za Kkoo zinafaidika na maamuzi ya hovyo ya waamuzi,tukirudi kwenye penalty huko ndio usiseme hata wenyewe ukiwagusa hili eneo wanaona aibu.
 
Kinachoitesa hii nchi kwenye maeneo yote sio tu mpira hadi kwenye siasa ni unafki siku tukiacha unafki tutafika mbali sana
 
Singida walikuwa na short on target 3,
Moja ikaingia golini ,Mpira mmja ulikaribia kuwa goli,job akaukoa
Mwingine ni daiara aliokoa Sasa kama watu wanashida ya kuona ,watakuwa na matatizo kwa kuwa kwenye mechi za simba Huwa Dakika za nyongeza ni nyingi hata 14,wacheAji wa simba wakifanya rafu hawapewi kadi,
 
Mechi ya simba ambayo mpaka dakika 90 haongozi basi tegemea vituko na vibweka dakika za nyongeza
 
Tuna wangalia tu wanavyo tupigia kelele kwa mechi ya JKT Ruvu,Dodoma Jiji,Mechi ya Azam zote zilitakiwa kuwa droo.

Double std kwenye ligi yetu haziepukiki, kila mtu anavutia kwake,ila mara nyingi timu za Kkoo zinafaidika na maamuzi ya hovyo ya waamuzi,tukirudi kwenye penalty huko ndio usiseme hata wenyewe ukiwagusa hili eneo wanaona aibu.
PENALTY SC YAMEUMIA KWELIKWELI.
 
Upo sahihi mkuu kama jana kulikuwa na vituko eti kocha nasikia kachezesha kikosi B ili afungwe na YANGA. Na baada ya kufungwa kocha wa singida kashangilia sana.
Ndo maana yake simba wasilalamike nawao wanafanyaga hivyo sana
 
Mashabiki wa simba kupiga kelele ni jadi yao. Na siku zote kelele zao ni za mchana tu. Ukifika usiku kama sasa hivi, wote wanakuwa wameshalala.
 
Nitashangaa kama viongozi wa Yanga na team watamezwa na hizi kelele za mashabiki wa Simba wanaojua kabisa kuwa wanacheza mind game wakiwatumia kina kishamba wasafi na crown
Singida kafungwa kadraw n.k hata kabla ya Jana binafsi ningependa mechi ijayo yanga ashinde goli hata 10 ili Kelele ziendelee
 
UNATAKA YANGA AFUNGWE 10 SI MTAMUUA GSM?
 
Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili

Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi kulalamikia rafu anazocheza simba jibu ni hapana mfano mechi ya pamba vs simba pamba walinyimwa goli lao la halali kabisa hatukusikia mashabiki wa simba wakilalamikia goli badala yake walikuwa wanashangilia ushindi

Aden rage ni kiongozi wa Tabora united mda huo ni shabiki lia lia wa simba kabla ya ligi tumeoma vibali vya wachezaji wa kigeni wa tabora vikicheleweshwa maksudi ili tu vitolewe baada ya mechi ya simba kupita na walifanikiwa mzunguko wa pili wakataka kufanya mchezo ule ule watu wakalalamika sana wakavitoa kwa shinikizo lakin lengo ni kuvitoa baada ya mechi ya simba vs tabora kupita hatukuona mahali popote mashabiki wa simba wakilalamikia bali walifurahia ushindi

Kocha wa Yanga aliyeondoka alisema ligi yetu inakosa intensity watu wakamkebehi cha ajabu baada ya matokeo ya jana baadhi ya watu wakamuunga mkono

Yako mengi sana point yangu sio kuitetea Yanga na kuiponda simba hapana bali kama kweli tunataka usawa kwenye ligi yetu tuache unafki na double standard
Infacts, mashabiki ya Simba ni ma mbumbumbu! Yanataka kumlazimisha kocha apange kikosi yanavyotaka yenyewe! Ujinga mtupu! Lakini pamoja na hayo yanasahau Kwamba hata yenyewe yakiwa na first 11 yalipigwa mkono!
 
Kama tumeamua kuwa wahuni na washenzi(barbarians) watumia mabavu basi tuwe wahuni na washenzi. Tusianze kulia lia.
 
Back
Top Bottom