Kama kweli tunataka mabadiliko, basi No reforms no election isiishie mitandaoni, iwekwe kwenye matendo bila kuvuruga amani ya nchi

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Kama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,

ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza sauti kuwasemea watanzania,

Ili bunge liwe na sauti na nguvu, kwa kutambua kuwa mbunge ameingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi na si janjajanja zilizopo,

Ili bunge liweze kutetea kwa hali na mali mariasili za taifa, na kuepusha ufungwqji wa mikataba mibovu inayoligharimu taifa,

BASI NDUGU ZANGU NO REFORMS NO ELECTION ISIISHIE MITANDAONI Tu, ILI KUONESHA TUNAHITAJI KIONGOZI TUNAYEMCHAGUA NDIYE ATAKAYETUONGOZA, TUWAAMBIE VIONGOZI WETU KUWA HATUTAENDA KUPIGA KURA MPAKA WAFANYE MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI ILI KUWEKA MIZANI SAWA BAINA YA WASHINDANI
 
Sasa unatishiwa kwenye maneno na matendo wanakuua tena wanakufata kwako siku hizi.
Kikubwa nguvu ya watu ikiongea lugha moja wenyewe watanyanyua mikono juu.
 
No , kinachofanyika ni hakuna kupiga kura kwa wote wenye akili timamu, yaani hakuna haja ya kutukana wala kupigana, siku inafika basi wakajipigie wao kura, ili ijulikane walijichagua
 
Kama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,

ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza sauti kuwasemea watanzania,

Ili bunge liwe na sauti na nguvu, kwa kutambua kuwa mbunge ameingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi na si janjajanja zilizopo,

Ili bunge liweze kutetea kwa hali na mali mariasili za taifa, na kuepusha ufungwqji wa mikataba mibovu inayoligharimu taifa,

BASI NDUGU ZANGU NO REFORMS NO ELECTION ISIISHIE MITANDAONI Tu, ILI KUONESHA TUNAHITAJI KIONGOZI TUNAYEMCHAGUA NDIYE ATAKAYETUONGOZA, TUWAAMBIE VIONGOZI WETU KUWA HATUTAENDA KUPIGA KURA MPAKA WAFANYE MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI ILI KUWEKA MIZANI SAWA BAINA YA WASHINDANI
Rubbish, amani iko api kama Mdude , Ali Kibao, Soka hawaonekani? pumbavu zako. Amani iko wapi?

No reforms, No election

NO REFORM NO ELECTION
 
Rubbish, amani iko api kama Mdude , Ali Kibao, Soka hawaonekani? pumbavu zako. Amani iko wapi?
Daah! Umeninukuu vibaya bila shake, sukari iko juu mnoo ndg yangu, punguza sukari rudi usome upya
 
Nazijua sana mkuu, moto wa no reforms no election unatakiwa kukolezwa kwenye matendo, nachosema tusiishie kisema no reforms no election alafu tunajipendezesha wenyewe, hatupaswi kupiga kura kama hakuna mabadiliko
Hayo hayo maneno ndio leo mtandao X umefungwa,habari kuwa matishio na hapa Jf kupangiwa cha kusema
 
Yap , ni kweli, kama taifa tunapaswa kuwa na umoja kushinikiza reforms zipatikane, wanafungia mitandao kwa sababu kiini cha mawasiliano na umoja wa kimisimamo inaanzia hapa, mimi nachosema ni kuwa no reforms no election iwekwe kwenye matendo, tusiishie mitandaoni
 
Kama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,

ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza sauti kuwasemea watanzania,

Ili bunge liwe na sauti na nguvu, kwa kutambua kuwa mbunge ameingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi na si janjajanja zilizopo,

Ili bunge liweze kutetea kwa hali na mali mariasili za taifa, na kuepusha ufungwqji wa mikataba mibovu inayoligharimu taifa,

BASI NDUGU ZANGU NO REFORMS NO ELECTION ISIISHIE MITANDAONI Tu, ILI KUONESHA TUNAHITAJI KIONGOZI TUNAYEMCHAGUA NDIYE ATAKAYETUONGOZA, TUWAAMBIE VIONGOZI WETU KUWA HATUTAENDA KUPIGA KURA MPAKA WAFANYE MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI ILI KUWEKA MIZANI SAWA BAINA YA WASHINDANI
Ili mteke watu acha iendelee mtandaoni
 
mkuu hujawazoea wa TZ? maneno mengi mitandaoni, lakini ukija ground Zero reaction
 
Back
Top Bottom