No , kinachofanyika ni hakuna kupiga kura kwa wote wenye akili timamu, yaani hakuna haja ya kutukana wala kupigana, siku inafika basi wakajipigie wao kura, ili ijulikane walijichaguaSasa unatishiwa kwenye maneno na matendo wanakuua tena wanakufata kwako siku hizi.
Kikubwa nguvu ya watu ikiongea lugha moja wenyewe watanyanyua mikono juu.
Ungesoma hii mada kwanza:No , kinachofanyika ni hakuna kupiga kura kwa wote wenye akili timamu, yaani hakuna haja ya kutukana wala kupigana, siku inafika basi wakajipigie wao kura, ili ijulikane walijichagua
Rubbish, amani iko api kama Mdude , Ali Kibao, Soka hawaonekani? pumbavu zako. Amani iko wapi?Kama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,
ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza sauti kuwasemea watanzania,
Ili bunge liwe na sauti na nguvu, kwa kutambua kuwa mbunge ameingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi na si janjajanja zilizopo,
Ili bunge liweze kutetea kwa hali na mali mariasili za taifa, na kuepusha ufungwqji wa mikataba mibovu inayoligharimu taifa,
BASI NDUGU ZANGU NO REFORMS NO ELECTION ISIISHIE MITANDAONI Tu, ILI KUONESHA TUNAHITAJI KIONGOZI TUNAYEMCHAGUA NDIYE ATAKAYETUONGOZA, TUWAAMBIE VIONGOZI WETU KUWA HATUTAENDA KUPIGA KURA MPAKA WAFANYE MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI ILI KUWEKA MIZANI SAWA BAINA YA WASHINDANI
NO REFORM NO ELECTIONKama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,
ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza sauti kuwasemea watanzania,
Ili bunge liwe na sauti na nguvu, kwa kutambua kuwa mbunge ameingia madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi na si janjajanja zilizopo,
Ili bunge liweze kutetea kwa hali na mali mariasili za taifa, na kuepusha ufungwqji wa mikataba mibovu inayoligharimu taifa,
BASI NDUGU ZANGU NO REFORMS NO ELECTION ISIISHIE MITANDAONI Tu, ILI KUONESHA TUNAHITAJI KIONGOZI TUNAYEMCHAGUA NDIYE ATAKAYETUONGOZA, TUWAAMBIE VIONGOZI WETU KUWA HATUTAENDA KUPIGA KURA MPAKA WAFANYE MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI ILI KUWEKA MIZANI SAWA BAINA YA WASHINDANI
Nazijua sana mkuu, moto wa no reforms no election unatakiwa kukolezwa kwenye matendo, nachosema tusiishie kisema no reforms no election alafu tunajipendezesha wenyewe, hatupaswi kupiga kura kama hakuna mabadilikoUngesoma hii mada kwanza:
Njia ambazo serikali ya CCM inazotumia kuzima mijadala au kuhoji
Hayo hayo maneno ndio leo mtandao X umefungwa,habari kuwa matishio na hapa Jf kupangiwa cha kusemaNazijua sana mkuu, moto wa no reforms no election unatakiwa kukolezwa kwenye matendo, nachosema tusiishie kisema no reforms no election alafu tunajipendezesha wenyewe, hatupaswi kupiga kura kama hakuna mabadiliko
Yap , ni kweli, kama taifa tunapaswa kuwa na umoja kushinikiza reforms zipatikane, wanafungia mitandao kwa sababu kiini cha mawasiliano na umoja wa kimisimamo inaanzia hapa, mimi nachosema ni kuwa no reforms no election iwekwe kwenye matendo, tusiishie mitandaoniHayo hayo maneno ndio leo mtandao X umefungwa,habari kuwa matishio na hapa Jf kupangiwa cha kusema
Ili mteke watu acha iendelee mtandaoniKama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,