Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho?
Sababu je ni hipi hasa
1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya?
2. Haujauelewa mkataba?
3. Umenufaika binafsi?
4. Unajali siasa kuliko nchi?
5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi?
Je, kwanini hamtaki marekebisho ya vifungu vibaya?