Kama kwenye familia zetu tuna wakina Hamza tusinyamaze

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana ni wakati mgumu sana kwenye maisha yao.

Haya matukio yamekuwa yakitokea kila siku lakini wengi wetu hatuyapi uzito mfano kijana akiamka na kusema kuanzia leo mimi ni tofauti nimeokoka na sitaki kula hiki au kile ni huyu pia ni Hamza, wengine wanasema sitanyoa nyewe nitakuwa Ja kama Bob Marley na kukuza marasta huu pia ni U hamza, wengine wanakuwa kama vichaa kwa usongo wa mawazo huu pia ni uhamza.

Lakini vilevile kuna watu wanatumia wakati huu wa hawa vijana kuwafundisha vitu vibaya kama kuchukia serikali, jeshi, kubagua watu kwa rangi zao, ubaguzi wa dini, matabaka na kuchukia matajiri. Na wengine kwa kushawishiwa wanaweza hata kuuwa watu hao.

Hakuna mtu mwenye akili zake sawa anaweza kwenye kuuwa mtu. Matatizo ya akili sio kuwa kichaa pekee mabadiliko yeyote hata kama ni mawazo yakabadilisha tabia ni tatizo la akili. Tunasikia watu kila siku wanasema nilipata depression hili ni tatizo la akili!, hazira zilizo pindukia hili ni tatizo la akili, wakati mwingine ukiona watu wanabadilika kila siku ni tatizo la akili.

Tatizo kwenye familia zetu unamsikia kijana anasema mimi nitaua mtu lakini tunapuuza, tunasikia vijana wanaongelea wamechoka kuishi tunaona ni ujana tu lakini wakati mwingine ni ishara kwamba kuna tatizo. Tukiona ndugu au jamaa ameweka hasira na kundi fulani kiasi cha kufikiri kuchukua maisha yao tujue kwamba kuna tatizo.

Ukimwona mtu amepania sana kulipiza kisasi vilevile ni tatizo na ni tatizo la akili. Mfano mzuri wa tatizo la akili ni hasira ukikasirika hauna tofauti na mtu mwenye matatizo ya akili tofauti ni kwamba hasira ni ya muda lakini chukulia kwamba hiyo hasira haiishi ungekuwa mtu wa aina gani?

Hivyo tukiona mtu hayuko sawa tutafute njia za kumsaidia mapema hata kama ni kwa kwenda polisi.
 
Don't jump into consusion yet, bado haijulikani kama ni gaidi au mental break down
 
Kwa hiyo kwa sababu suala la kuokoka halihusiani na imani yako ukaona haina shida kuliongelea kama moja ya matatizo ya kwenye jamii. Kwani huwezi kuwasilisha pointi yako bila kuudhi imani za wengine?
 
Matendo yetu ndio yanawatengeneza hao, tusipobadilika punde tutawaunda kama siafu.
 
Acheni kuhukukumu ki.senge, tumia akili kidogo. Hamza anaishi nyuma ya makao makuu ya fire pale kuna askari kibao kwanini asiende kuua hao!?

Kwanini aende specifically pale jirani na Stanbic!? Story ni kwamba kuna polisi pale walimdhurumu dhahabu zake siku chache kabla ya jana na wakampiga mkwara hawezi wafanya lolote.

Bahati nzuri au mbaya hulka yake sio ya kuonewa kifala. Na kabla ya kufika na ku shoot alipita mara mbili na kuhakikisha kuwa wabaya wake wapo na ndo hao ambao hawajaomba hata maji ya kunywa wakafa.

Hakuwa na shida na raia angekuwa ghaidi misiba ingekuwa mingi maana magazine zake zilikuwa FULL. Funzo hapo ni kwa jeshi la polisi wasichukulie watanzania wote ni makondoo.

Wengine hawadhurumiwi kifalafala. Halafu na nyie member wa JF acha u.senge wa ku jump kwenye conclusion kama huna uhakika na kilichotokea bora kukaa kimya tu..
 
Acheni kuhukukumu ki.senge, tumia akili kidogo. Hamza anaishi nyuma ya makao makuu ya fire pale kuna askari kibao kwanini asiende kuua hao!?.. kwanini aende specifically pale jirani na Stanbic!?.. story ni kwamba kuna polisi pale walimdhurumu dhahabu zake siku chache kabla ya jana na wakampiga mkwara hawezi wafanya lolote. Bahati nzuri au mbaya hulka yake sio ya kuonewa kifala. Na kabla ya kufika na ku shoot alipita mara mbili na kuhakikisha kuwa wabaya wake wapo na ndo hao ambao hawajaomba hata maji ya kunywa wakafa. Hakuwa na shida na raia angekuwa ghaidi misiba ingekuwa mingi maana magazine zake zilikuwa FULL. Funzo hapo ni kwa jeshi la polisi wasichukulie watanzania wote ni makondoo. Wengine hawadhurumiwi kifalafala. Halafu na nyie member wa JF acha u.senge wa ku jump kwenye conclusion kama huna uhakika na kilichotokea bora kukaa kimya tu..

Ndiyo maana nimesema kulipa kisasi mpaka kufikiria kuuwa nayo ni tatizo la akili. Ukiwa kijana unaweza kufikiria ni kawaida tu kutaka kuuwa mtu lakini Dunia haiendi hivyo kuna waungwana wengi sana ambao wangeweza kusaidia lakini kama navyosema ni tatizo la akili. Lakini kubwa hapa sio hamza yeye ameshaondoka naongelea sisi tuliobaki
 
Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana ni wakati mgumu sana kwenye maisha yao.
Haya matukio yamekuwa yakitokea kila siku lakini wengi wetu hatuyapi uzito mfano kijana akiamka na kusema kuanzia leo mimi ni tofauti nimeokoka na sitaki kula hiki au kile ni huyu pia ni Hamza, wengine wanasema sitanyoa nyewe nitakuwa Ja kama Bob Marley na kukuza marasta huu pia ni U hamza, wengine wanakuwa kama vichaa kwa usongo wa mawazo huu pia ni uhamza.

Lakini vilevile kuna watu wanatumia wakati huu wa hawa vijana kuwafundisha vitu vibaya kama kuchukia serikali, jeshi, kubagua watu kwa rangi zao, ubaguzi wa dini, matabaka na kuchukia matajiri ........... Na wengine kwa kushawishiwa wanaweza hata kuuwa watu hao.

Hakuna mtu mwenye akili zake sawa anaweza kwenye kuuwa mtu. Matatizo ya akili sio kuwa kichaa pekee mabadiliko yeyote hata kama ni mawazo yakabadilisha tabia ni tatizo la akili. Tunasikia watu kila siku wanasema nilipata depression hili ni tatizo la akili!, hazira zilizo pindukia hili ni tatizo la akili, wakati mwingine ukiona watu wanabadilika kila siku ni tatizo la akili.

Tatizo kwenye familia zetu unamsikia kijana anasema mimi nitaua mtu lakini tunapuuza, tunasikia vijana wanaongelea wamechoka kuishi tunaona ni ujana tu lakini wakati mwingine ni ishara kwamba kuna tatizo. Tukiona ndugu au jamaa ameweka hasira na kundi fulani kiasi cha kufikiri kuchukua maisha yao tujue kwamba kuna tatizo. Ukimwona mtu amepania sana kulipiza kisasi vilevile ni tatizo na ni tatizo la akili. Mfano mzuri wa tatizo la akili ni hasira ukikasirika hauna tofauti na mtu mwenye matatizo ya akili tofauti ni kwamba hasira ni ya muda lakini chukulia kwamba hiyo hasira haiishi ungekuwa mtu wa aina gani?

Hivyo tukiona mtu hayuko sawa tutafute njia za kumsaidia mapema hata kama ni kwa kwenda polisi.
Hamza wapo wengi hapo lumumba.
 
Acheni kuhukukumu ki.senge, tumia akili kidogo. Hamza anaishi nyuma ya makao makuu ya fire pale kuna askari kibao kwanini asiende kuua hao!?.. kwanini aende specifically pale jirani na Stanbic!?.. story ni kwamba kuna polisi pale walimdhurumu dhahabu zake siku chache kabla ya jana na wakampiga mkwara hawezi wafanya lolote. Bahati nzuri au mbaya hulka yake sio ya kuonewa kifala. Na kabla ya kufika na ku shoot alipita mara mbili na kuhakikisha kuwa wabaya wake wapo na ndo hao ambao hawajaomba hata maji ya kunywa wakafa. Hakuwa na shida na raia angekuwa ghaidi misiba ingekuwa mingi maana magazine zake zilikuwa FULL. Funzo hapo ni kwa jeshi la polisi wasichukulie watanzania wote ni makondoo. Wengine hawadhurumiwi kifalafala. Halafu na nyie member wa JF acha u.senge wa ku jump kwenye conclusion kama huna uhakika na kilichotokea bora kukaa kimya tu..
Tungepata akina Hamza Kama Mia 5 tz tungekuwa mbali. Wengi wanaonewa, wadhulumiwa wanauguoia ndani ya moyo tu.
 
Wewe mwenyewe ni Hamza ngoja siku ukutane na polisi kwenye 18 zao.
 
Acheni kuhukukumu ki.senge, tumia akili kidogo. Hamza anaishi nyuma ya makao makuu ya fire pale kuna askari kibao kwanini asiende kuua hao!?.. kwanini aende specifically pale jirani na Stanbic!?.. story ni kwamba kuna polisi pale walimdhurumu dhahabu zake siku chache kabla ya jana na wakampiga mkwara hawezi wafanya lolote. Bahati nzuri au mbaya hulka yake sio ya kuonewa kifala. Na kabla ya kufika na ku shoot alipita mara mbili na kuhakikisha kuwa wabaya wake wapo na ndo hao ambao hawajaomba hata maji ya kunywa wakafa. Hakuwa na shida na raia angekuwa ghaidi misiba ingekuwa mingi maana magazine zake zilikuwa FULL. Funzo hapo ni kwa jeshi la polisi wasichukulie watanzania wote ni makondoo. Wengine hawadhurumiwi kifalafala. Halafu na nyie member wa JF acha u.senge wa ku jump kwenye conclusion kama huna uhakika na kilichotokea bora kukaa kimya tu..
mchanganuo wako unaendana na hali. nashawishika kukuamini kuliko nadharia zote baki
 
Back
Top Bottom