Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukikubali mpira ukupite lakini usiingie wavuni, yaani utoke nje au ugonge post, kuna tatizo gani? Maana yake ni kwamba alijinyoosha hadi mahali salama kulinda lango, na huo mpira haukuwa na madhara. Au ulitaka makipa wawe wanairukia mipira yote hata inayoenda kutoka nje?Pigo la mwisho alishakubali akaokolewa na post mbona husemi?
Kwa hyo mnataka kumrudisha kwa perfomance ya mechi moja tu?
siku moja matola akipewa simba, vikombe kedekede[emoji16]
Mkuu hivi karius ameitwa national team?Tatizo huyo dogo maji kupwa maji kujaa,,,
Akija mjini mademu wengi sana,,,Bora tu abaki Singida,,, Tumuone katika kiwango hicho hicho,,,
Yasije yakatokea ya Karius!!!
Aaah hhha simba noma,kwa hiyo sasa hivi wanatamka MasoudIla sipendezewi baadhi ya mashabiki wa Simba kumtukana kocha mkuu.
Sijaona kosa hadi kushushiwa lawama na matusi yule mzee, tubadilike tusijifanye makocha
Tatizo huyo dogo maji kupwa maji kujaa,,,
Akija mjini mademu wengi sana,,,Bora tu abaki Singida,,, Tumuone katika kiwango hicho hicho,,,
Yasije yakatokea ya Karius!!!
Ila sipendezewi baadhi ya mashabiki wa Simba kumtukana kocha mkuu.
Sijaona kosa hadi kushushiwa lawama na matusi yule mzee, tubadilike tusijifanye makocha
Mkuu, umeongea ukweli mtupu na kitaalamu bila ya kuacha kitu na Pierre aongezewe mkataba tu.Naunga mkono hoja mkuuWatu wote wanaomchukia na kumsema vibaya Kocha wa Simba SC Mfaransa Pierre Lechantre hawajui mpira halafu ni ' Wapuuzi ' hakuna mfano. Ndiyo maana kuna muda mwingine huwa naamua tu kunyamaza na kuwaangalia tu Watu ambao hata a,b,c's za mpira hawana na hawajui.
Leo hii kila ' Mpuuzi ' anasema Timu apewe Masoud Irambona Djuma huku wakimsifu kuwa ndiyo anaiwezea Simba na anajua kufundisha. Ili uone kuwa Wapenzi wa mpira wa Simba SC kama si Tanzania kwa ujumla baadhi yao ni ' Wapuuzi ' hawa hawa ambao leo hii wanampigia ' Chapuo ' Djuma apewe Timu ndiyo hawa hawa wakati Simba SC imefanya vibaya katika Kombe la Mapinduzi kule Zanzibar ndiyo walikuwa mitandaoni wakimtaka aondolewe au awe chini ya Kocha Mkuu.
Hivi kwa Mtu anayeujua kweli mpira ' Kindakindaki ' anaweza kuthubutu kumfananisha Lechantre na Djuma? Hivi Djuma ana CV ya hata kuifikia robo ya CV ya Lechantre? Kuna kuna Mwafrika yoyote mfuatiliaji wa Mpira ambaye leo hii hajui uwezo mkubwa alionao Lechantre? Kuna vitu vingine huwa vinatia hasira hadi Mtu unakosa hata uvumilivu.
Wanaojua mpira huangalia Kwanza matokeo ya Uwanjana na aina ya Uchezaji wa Timu huja baadae na wala siyo Kipaumbele sana kwani Timu haiwi Bingwa kwa kucheza ' Sexy Football ' badala yake Watu hutaka matokeo na Vikombe pekee kitu ambacho Simba SC imefanya safari hii.
Upuuzi huu wa kutaka Simba SC icheze mpira wa Kitabuni pekee ndiyo umeigharimu hata Klabu ya Arsenal ambayo kwa mpira wake huo wa ' Kuburudisha ' Watazamaji sasa ina miaka ya Umri aliona mdogo wangu wa Kike wa miaka 22 kama sijakosea bila kuchukua Kombe ya EPL huko Uingereza.
Sioni sababu yoyote ya Kocha Pierre Lechantre ' Kufukuzwa ' Simba SC na badala yake nadhani sasa huyu Kocha apewe Mkataba mrefu ili aitengeneze Simba yetu Kimataifa zaidi. Halafu Kocha Djuma ' aonywe ' haraka aache tabia yake ya kupika ' majungu ' kwa baadhi ya Wachezaji ' Waandamizi ' wa Simba SC ili ' wachomeshe ' akishirikiana na baadhi ya Wanachama wa Simba SC ambao wanampenda Kinafiki ili Timu iharibu halafu Lechantre afukuzwe na akabidhiwe Timu yeye.
Ni hayo tu Mkuu na tupo pamoja.
Hebu Weka pichaUtakuwa ni Yanga wewe!
Mpira umempita kati ya kwapa na kiuno.Sasa ukikubali mpira ukupite lakini usiingie wavuni, yaani utoke nje au ugonge post, kuna tatizo gani? Maana yake ni kwamba alijinyoosha hadi mahali salama kulinda lango, na huo mpira haukuwa na madhara. Au ulitaka makipa wawe wanairukia mipira yote hata inayoenda kutoka nje?
Chuma cha Mjeruman hakiiti it tuu watuMkuu hivi karius ameitwa national team?
Mkuu, umeongea ukweli mtupu na kitaalamu bila ya kuacha kitu na Pierre aongezewe mkataba tu.Naunga mkono hoja mkuu
Pamoja sana mkuu.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Ndio soka la bongo ndugu.. ila dogo bado wamuache hata miaka 2 mbele tumuone.Kwa hyo mnataka kumrudisha kwa perfomance ya mechi moja tu?
Kaitwa timu ya Taifa ya GuatemalaMkuu hivi karius ameitwa national team?