YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Kubeba dunia ndio lipoje hilo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Jeshini kuna adhabu za kukomoana mkuu...!
Huyo mwenye mbuzi, awaachie tu hao wanajeshi wamfanye huyo mbuzi kitoweo.
Ila kama yupo tayari kufuata mbuzi wake, awe pia tayari kupewa hizi adhabu
- Kubeba dunia
- Kupiga simu
- Kunyonya mafuta
waliopitia JKT wanaelewa nazungumzia nini hapo.
Miguu juu kichwa chini na unyoooshe juuuuuKubeba dunia ndio lipoje hilo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Wajeda wanavyopenda chini akienda mrembo kama huyu wanampa bila maswali wala adhabu!Mwenyewe ameshajitokeza kamchukua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio tuu wajeda peke yao wanaopenda chiniWajeda wanavyopenda chini akienda mrembo kama huyu wanampa bila maswali wala adhabu!
Mm yule mbuz angekuwa wangu ningemtuma bibi kikongwe wa miaka 70 akamchukue tuone wangemfanyeje![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio tuu wajeda peke yao wanaopenda chini
Wale jamaa wanamtifua kama kawaidaa... ohoooMm yule mbuz angekuwa wangu ningemtuma bibi kikongwe wa miaka 70 akamchukue tuone wangemfanyeje!
Jamaa una akili sana, sasa pale itakapotokea wakampandisha katika zile difenda za jeshi wakimleta nyumbani, wakimkuta kuna kijana yoyote wanaondoka naeMm yule mbuz angekuwa wangu ningemtuma bibi kikongwe wa miaka 70 akamchukue tuone wangemfanyeje!
duh!!View attachment 466331jamaa kaenda
Hahaaa, kuna Police Traffic mmoja alikuwa bingwa wa kula pesa za waendesha pikipiki barabara ya Chalinze - Morogoro, sasa kuna mjeda alimdaka anaendesha pikipiki bila kuvaa kofia, kumbe jamaa alifanya makusudi alimtegea. Alipomdaka bila kujua kuwa ni mjeda akaanza kudai kitu kidogo, jamaa akamuambia kwa wakati ule hana kitu kama vipi apande pikipiki aende nae mpaka kwa uncle wake jirani na pale ili akampe.Jeshini kuna adhabu za kukomoana mkuu...!
Huyo mwenye mbuzi, awaachie tu hao wanajeshi wamfanye huyo mbuzi kitoweo.
Ila kama yupo tayari kufuata mbuzi wake, awe pia tayari kupewa hizi adhabu
- Kubeba dunia
- Kupiga simu
- Kunyonya mafuta
waliopitia JKT wanaelewa nazungumzia nini hapo.