Kama Lakini Una Moyo.... Nenda Kamchukue Mbuzi Wako

Kama Lakini Una Moyo.... Nenda Kamchukue Mbuzi Wako

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
569
c0d99d40dd99fb2057729312de27ba97.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jeshini kuna adhabu za kukomoana mkuu...!
Huyo mwenye mbuzi, awaachie tu hao wanajeshi wamfanye huyo mbuzi kitoweo.
Ila kama yupo tayari kufuata mbuzi wake, awe pia tayari kupewa hizi adhabu
  • Kubeba dunia
  • Kupiga simu
  • Kunyonya mafuta

waliopitia JKT wanaelewa nazungumzia nini hapo.
 
Kubeba dunia ndio lipoje hilo mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila wameandika maneno mazuri kama sio wao vile! sasa jichanganye maana kuna maneno flan inabidi alarm igonge "alikuwa ana zurura na kula penye bustani "
 
Mm yule mbuz angekuwa wangu ningemtuma bibi kikongwe wa miaka 70 akamchukue tuone wangemfanyeje!
Jamaa una akili sana, sasa pale itakapotokea wakampandisha katika zile difenda za jeshi wakimleta nyumbani, wakimkuta kuna kijana yoyote wanaondoka nae
 
Hii ni sawa na mwizi kufukuzwa kimya kimya hawana nia njema hao huo mwandiko ukiutizama kwa jicho la tatu unaona pana tatizo.Yaani huu uungwana jeshi letu limeutoa wapi?
 
Jeshini kuna adhabu za kukomoana mkuu...!
Huyo mwenye mbuzi, awaachie tu hao wanajeshi wamfanye huyo mbuzi kitoweo.
Ila kama yupo tayari kufuata mbuzi wake, awe pia tayari kupewa hizi adhabu
  • Kubeba dunia
  • Kupiga simu
  • Kunyonya mafuta

waliopitia JKT wanaelewa nazungumzia nini hapo.
Hahaaa, kuna Police Traffic mmoja alikuwa bingwa wa kula pesa za waendesha pikipiki barabara ya Chalinze - Morogoro, sasa kuna mjeda alimdaka anaendesha pikipiki bila kuvaa kofia, kumbe jamaa alifanya makusudi alimtegea. Alipomdaka bila kujua kuwa ni mjeda akaanza kudai kitu kidogo, jamaa akamuambia kwa wakati ule hana kitu kama vipi apande pikipiki aende nae mpaka kwa uncle wake jirani na pale ili akampe.

Yule Traffic akakubali lakini akataka yeye ndiye aendeshe pikipiki, kumbe jamaa anampeleka kambini. Traffic anashangaa wakati wanafika getini jamaa anapigiwa saluti, kwanza akawa mpole ghafla, yule mjeda wa pale getini amuuliza mwenzie "Umemleta eeeh??" jamaa akadai "Ndiyo" Basi jamaa wakamchukua yule traffic mpaka kiwanjani wakampa adhabu ndogo tu, wakamuuliza "Wewe si unapenda sana kuendesha pikipiki za watu, sasa leo tunataka uendeshee hii pikipiki mpaka mafuta yaishe."
Jamaa wakamjazia full tank wakamwambia azunguke uwanja mpaka mafuta yaishe ndio aende zake.
Sasa huyu mwenye mbuzi ajiandae kama atakwenda kumfuata Mbuzi wake.
 
Back
Top Bottom