Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kuna mambo yanachekesha sana.Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema.
Ukikaa vibaya hata wewe nakuingilia tu.Unapenda kuingilia maisha ya wenzio sio??
Mtoa mada vp Leo, umepiga Cha Arusha Nini?Kuna mambo yanachekesha sana.
Mimi si mtoa mada, soma vizuri.Mtoa mada vp Leo, umepiga Cha Arusha Nini?
😂😂😂Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema.
Utaolewa bure dogo. Hutujui sisi wengine ni akina nani.Mtu yupo kimpirimbimbi huko kashiba zake uporo wa makande anamshauri mtoto mdogo ambaye amemzidi kila kitu,, !!!
Mtoto wa kiume weweDogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.
Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.
Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Yumo humu nahisi kama sio mwenye id ya Lucha basi ni huyu BetelgeuseDogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.
Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.
Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Mtoto wa kike wewe haya mambo tuachie sisi wanaumeMtoto wa kiume wewe
Hebu Acha kuhangaika na maisha ya watu
Safi sana. Ujumbe wake aupate
Kabisa. Wana hulka zinazofanana. Neymar ameua kipaji kwa ujinga ujinga tu.Ila naunga mkono hoja, huyu na Neymar wametofautiana matendo, ila hulka ni 1.
Ndo kitacho mkuta huyu Dogo, muda utasema.Kabisa. Wana hulka zinazofanana. Neymar ameua kipaji kwa ujinga ujinga tu.
Mtoa ushauri acha utoto ili huyo mtoto mwenye utoto azingatie ushauri wako.Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema