Kama Lamine Yamal hawatamwahi mapema sana atapotea

Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.

Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.

Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Weka takwimu za MESS akiwa na umri wa miaka 17 na za huyo ktk umri huo tujiridhishe juu ya madai yako.
 
Katika miaka hio 17 Yamal ana experience na maturity katika soka zaidi ya Messi

Stats at 17...​

Cristiano Ronaldo
Appearances: 19
Goals: 5
Assists: 4

Lionel Messi
Appearances: 9
Goals: 1
Assists: 0

Lamine Yamal
Appearances: 100
Goals: 22
Assists: 33

Labda kuna jambo moja ambalo kina Owen wasingeweza kufanya kipindi kile cha mpira wa viatu (ndaruga) ni kwamba ukianza kucheza mapema unaweza ukawa burn out au kupata majeraha mapema ila sasa hivi mpira umekuwa kama basket mtu haguswi....
 
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.

Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.

Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Kuna watu mna furahisha sana.Lamine awe jf?
 
Back
Top Bottom