Kama Lamine Yamal hawatamwahi mapema sana atapotea

Baada ya balaa lililofanywa jana, nimeamua kurudi kwenye huu uzi uchwara.
 
Baada ya balaa lililofanywa jana, nimeamua kurudi kwenye huu uzi uchwara.
Sijaangali hyo game ila matokeo naona barca alikuwa na kaz ya kuchomoa tu, 60% final inaweza kuwa inter na psg kwa maoni yangu.
 
Kwa Umri wake ana mafanikio makubwa harafu wewe umekula chapati zako na maharage unataka kumshauri aisee wewe mwenyewe moja haikai wala mbili haikai..
 
Yumo
 
Hapa sasa ndo nimethibitisha kuwa mashabiki wa simba ni mbumbumbu, maana kuna ule uzi wanasema watu wenye akili yanga wamefikia watatu eti akiwamo na huyu!.
 
Sijaangali hyo game ila matokeo naona barca alikuwa na kaz ya kuchomoa tu, 60% final inaweza kuwa inter na psg kwa maoni yangu.
barcelona ilikuwa na wakati mgumu. Ila kwa macho yangu mawili nimeshuhudia mafaza wawili dimarco na bastoni wakinyanyaswa na mtoto wa 2007, kunyanyaswa kabisa yaani kama wafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…