Kama lengo lako ni kuzaa ili watoto waje kukulipa fadhila kwa malezi yako basi nakushauri hairisha kwa sababu wewe ni mjasiriamali na sio mzazi

Africa tunapigwa sana , yaani mtu anazaa bila ya mpangilio kuna ili apate wafanyakazi hayo ni mambo kikoloni.
 
Wakwe hawana nyumba na wazazi nao hawana nyumba, hapo inabidi ujenge nyumba mbili kabla hujaanza ya kwako [emoji3]
 
Unanikumbusha kile kisa cha mzazi kutoka Rufiji alitakiwa na mtoto wake afanye cost analysis ya malezi aliyopatiwa ili baba alipwe pesa cash ili asimsumbue tena.
BABA AKAMWAMBIA NICHUKUE ILI NIKAE NA WEWE SIKU KADHAA THEN NIJINYEE KWENYE NGUO UNISAFISHE PAMOJA NA KUSAFISHA NGUO NITAKAZOZICHAFUA KWAMBA HAYO NDIYO YATAKUWA MALIPO YA MALEZI
 
Hasa sisi first bor

Hasa watoto ambao ni first born tunakuwa na majukumu magumu sana 🌝 wazazi, wadogo zangu, familia yangu na bado mimi mwenyewe ndio najitafuta dah
 
Wazazi wa Kiafrika hasa Tanzania ukiwaambia hivi hawawezi kukuelewa, ndo maana wanakuja na neno laana. Ukizaa ni moral duty kumlea, kumsomesha na kumpa maisha mazuri mwanao, lakini sio jukumu lake kumlea mzazi wake
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…