AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII.
Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde...
Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo hayahitaji...mwisho wa siku tunakosa kufanya mambo kwa ufanisi unaohitajika.
HUWEZI ONA MECHI YA WANAWAKE AKICHEZESHA REFA MWANAUME...Ila huku kwa wanaume analetwa mwanamke mmoja katikati ha kundi la wanaume 22.
Mechi ya WANAUME ina mikikimikiki ya kiume...mnalazimisha gender balance mnamleta mwanamke anakuja kuboronga...
Acheni wanawake wacheze wenyewe kwa wenyewe...na ya wanaume yawe ya wanaume...
Sasa huyu refa ni UDHAIFU WA KIKIKE AU NI MAELEKEZO YA WAKUBWA ZAKE?