Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hivi kuna mwana simba ambaye akiwa na akili timamu kabisa anaamini kwamba simba itaifunga yanga?
Kwa calculation za karia pale aliamini kabisa Azam anaenda kuimaliza Yanga ili nafsi yake ifurahi sasa mipango imebuma.