Hivi kuna mwana simba ambaye akiwa na akili timamu kabisa anaamini kwamba simba itaifunga yanga?
Kwa calculation za karia pale aliamini kabisa Azam anaenda kuimaliza Yanga ili nafsi yake ifurahi sasa mipango imebuma.
Nyani wa pori la utopolo waliamini tawi lao Singida angeshinda jana ili Jumapili awaachie kama kawaida yao sasa wasiyempenda ndiyo yuko chumbani bado kuwekwa mimba hiyo j2. Mayowe ni mengi sana huko jangwani
Yanga iliyofungwa na Ihefu..?Hivi kuna mwana simba ambaye akiwa na akili timamu kabisa anaamini kwamba simba itaifunga yanga?
Kwa calculation za karia pale aliamini kabisa Azam anaenda kuimaliza Yanga ili nafsi yake ifurahi sasa mipango imebuma.
[emoji16][emoji16][emoji16]Matimu yenu hayo ya kipumbavu ya Yanga na Simba Huwa yanaharibu Saba soka la Tanzania.
Ndio maana kwanza sifuatiliagi mechi za Tanzania labda Wakiwa wanacheza kwenye mashindano ya Africa maana huko hakuna kubebana kindezi
Ushabiki wa kweli ni kukemea unapoona mambo hayaendi sawa. Unapoleta ushabiki maandazi unakuwa haujengi, unabomoa.Mbona mashabiki wa utopolo mmechukia sana siku ya Leo ? Tukutane jumapili
Tukutane jumapili ili mkakemee vizuriUshabiki wa kweli ni kukemea unapoona mambo hayaendi sawa. Unapoleta ushabiki maandazi unakuwa haujengi, unabomoa.
Karia msimu huu ana wakati mgumu sana kwa utopoloHivi kuna mwana simba ambaye akiwa na akili timamu kabisa anaamini kwamba simba itaifunga yanga?
Kwa calculation za karia pale aliamini kabisa Azam anaenda kuimaliza Yanga ili nafsi yake ifurahi sasa mipango imebuma.
Ina maana wewe ni kipofu? huku ona goli la Singida limekataliwa?Kwa hiyo refa ndie aliwaambia wapige penati vile au refa wapi kakataa goli au penati ya hao utopolo wadogo?
kwani mechi ya mwisho zilipokutana nani alifungwa? Huwa mnapenda kujifariji mara zote mkikutana na singida matokeo yanakuwa tayari.Hivi kuna mwana simba ambaye akiwa na akili timamu kabisa anaamini kwamba simba itaifunga yanga?
Kwa calculation za karia pale aliamini kabisa Azam anaenda kuimaliza Yanga ili nafsi yake ifurahi sasa mipango imebuma.
Sababu Utopolo B ameondolewa mashindanoniMbona mashabiki wa utopolo mmechukia sana siku ya Leo ? Tukutane jumapili
Miaka miwili mfululizo mmefungwa kwenye Ngao ya Jamii, halafu unapata kabisa ujasiri wa kuandika hivi!! Aisee kweli Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu.Msiyemtaka kaja, tukutane jumapili πππ
Haina shida tukutane jumapiliMiaka miwili mfululizo mmefungwa kwenye Ngao ya Jamii, halafu unapata kabisa ujasiri wa kuandika hivi!! Aisee kweli Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu.
Kesho sio mbaliHivi kuna mwana simba ambaye akiwa na akili timamu kabisa anaamini kwamba simba itaifunga yanga?
Kwa calculation za karia pale aliamini kabisa Azam anaenda kuimaliza Yanga ili nafsi yake ifurahi sasa mipango imebuma.