LGE2024 Kama leo hii mwanamke atatwezwa utu wake, watawezaje kwenda kuchukua fomu ya uchaguzi?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964

KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI?

"Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu mbalimbali watagombea wenye jinsia ya kike, kama leo hii watatwezwa na kudhalilishwa, nani mtoto wa kike atapata ujasiri wa kwenda kuchukua fomu,? anasimamaje jukwaani kusema chochote!"

Shabani Matwebe
Mwenyekiti wa Jumuhiya ya wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA)
 
NINI hiki unendika wewe?,kuna watu wanashikwa ugoni kesho wako kanisani wanahubiri ije kuwa kutwezwa?
 
asie na sifa wala hoja, asithubutu wala kujihangaisha kuchukua fomu ya kuomba uongozi atakwama tu πŸ’

watu wadhaifu, wasiojiamini, waoga na wasio na hoja wala sera za kujinadi kwa wanainchi majukwaani, ndio pekee hubabaika na setbacks za porojo na stori za kusadikika, ambazo kwakweli ni useless na ni none sense πŸ’

womens of Tz, are currently more united, more courageous, more ambitious, more focused and more committed than any other time before, watch them properly πŸ’

hata hivyo,
jana dume kushadadia mambo ya kike kike, kuwatisha na kuwakatisha tamaa kwa sura ya ubaguzi wa kijinsia, kuna walakini ndani yake.

yafaa achunguzwe vizuri, maybe kuna something wrong somewhere πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…