tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Watu wako frustrated majumbani. Hawakupewa elimu jinsi mambo yatakavyokwenda. Mtaani kwetu hadi alasiri leo hakuna karani hata mmoja kapita, lakini nikiingia Twitter na Instagram naona makarani wamepiga picha na Rais, Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi mbalimbali wa taasisi za serikali.
Leo viongozi walipaswa wazunguke huko mitaani kutoa hamasa, na si kupiga picha na makarani kwa nia ya kutoa hamasa ya zoezi huku makarani wote mkiwa nao hukohuko. Tafsiri ya wengi ilikuwa hili ni tukio la siku moja, sambamba na kuifanya siku hii kuwa ya mapumziko.
Sasa ukija kwangu kesho kutwa utanipata wapi? Na ukinipata taarifa zangu zitakuwa sahihi kweli? Recall bias.