Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
-
- #21
Ahsante sana ushauri mzuriUfundi simu na uwinga Front end ,
Hapa unajifunza ujasiriamali/biashara Kwa vitendo,
Huku unakusanya data taratibu /humint
Backend Data analytics/data science,
Software Web DVT/programing
Ova
Toa muongozo mkuu tupate DataZipo nyingi ukifika utapewa muongozo
Ufundi Simu & Sales/Uwinga: Unakupa mawasiliano ya ana kwa ana na wateja halisi. Unajua mahitaji yao, changamoto zao, tabia zao za matumizi ya fedha (consumer behavior), na jinsi biashara za mtaani zinavyopumua.Ufundi simu na uwinga Front end ,
Hapa unajifunza ujasiriamali/biashara Kwa vitendo,
Huku unakusanya data taratibu /humint
Backend Data analytics/data science,
Software Web DVT/programing
Ova
Hii ni front end , backend,Ufundi Simu & Sales/Uwinga: Unakupa mawasiliano ya ana kwa ana na wateja halisi. Unajua mahitaji yao, changamoto zao, tabia zao za matumizi ya fedha (consumer behavior), na jinsi biashara za mtaani zinavyopumua.
Ujasiriamali kwa Vitendo: Hapa hufanyi nadharia (theory). Unajifunza usimamizi wa mtaji wa mzunguko (cash flow), mazungumzo (negotiation), na saikolojia ya wateja.
HUMINT (Human Intelligence): Unakusanya data ambazo hakuna Google wala Algorithm yoyote inayoweza kuzipata—data za jinsi watu wanavyofikiri, wanachohitaji, na wapi mifumo ya kibiashara inafeli mtaani.
Una mtu ?Me natamani Ningezaliwa mwanaume najua ningepambana sana na nungekua tajiri,
Nisingepoteza muda na shule baada tu ya kuhitimu kidato cha 4 , ningeenda huko veta nikajufunze ufundi umeme wa magari
Enewei ngoja nisubirie kuzaa tu
SijakuelewaUna mtu ?
Kwa nini unatia huruma kiasi hichi?Me natamani Ningezaliwa mwanaume najua ningepambana sana na ningekua tajiri,at the age 30-35
Nisingepoteza muda na shule baada tu ya kuhitimu kidato cha 4 , ningeenda huko veta nikajufunze ufundi umeme wa magari
Enewei ngoja nisubirie kuzaa tu
Swali langu limetarget hapo.Enewei ngoja nisubirie kuzaa tu
Nani anatia huruma ???Kwa nini unatia huruma kiasi hichi?
HAhahaSwali langu limetarget hapo.
kama huna mtu nicheki pm tuyajenge 😁 nataka kuplay part ya huyo ndege hapo kwa Avatar yakoHAhaha
Hahaha haya maajabuWewe hapo
Mwandiko wako unatia huruma
Utakubali kuwa mume mitalakama huna mtu nicheki pm tuyajenge 😁 nataka kuplay part ya huyo ndege hapo kwa Avatar yako
mume mitala ??Utakubali kuwa mume mitala
Hahaha haya maajabu
Me nilikua namwambia aende veta akajifunze ufundi umeme wa kwenye magari
Me natamani Ningezaliwa mwanaume najua ningepambana sana na ningekua tajiri,at the age 30-35
Enewei ngoja nisubirie kuzaa tu
Ahsante sanaUfundi Simu & Sales/Uwinga: Unakupa mawasiliano ya ana kwa ana na wateja halisi. Unajua mahitaji yao, changamoto zao, tabia zao za matumizi ya fedha (consumer behavior), na jinsi biashara za mtaani zinavyopumua.
Ujasiriamali kwa Vitendo: Hapa hufanyi nadharia (theory). Unajifunza usimamizi wa mtaji wa mzunguko (cash flow), mazungumzo (negotiation), na saikolojia ya wateja.
HUMINT (Human Intelligence): Unakusanya data ambazo hakuna Google wala Algorithm yoyote inayoweza kuzipata—data za jinsi watu wanavyofikiri, wanachohitaji, na wapi mifumo ya kibiashara inafeli mtaani.
Mbona wanawake wapo vizuri tu zaidi unavyo-wish … we sema unatafuta excuse tu au vipi?Me natamani Ningezaliwa mwanaume najua ningepambana sana na ningekua tajiri,at the age 30-35
Nisingepoteza muda na shule baada tu ya kuhitimu kidato cha 4 , ningeenda huko veta nikajufunze ufundi umeme wa magari
Enewei ngoja nisubirie kuzaa tu
Hahaha yaani mnakua wawili mke m,moja na mume wawili nakua nafanya zamumume mitala ??
fananu hili ni jambo serious Olivia 😁
Na mimi najitahidi nifikie hukoMbona wanawake wapo vizuri tu zaidi unavyo-wish … we sema unatafuta excuse tu au vipi?