Kama leo ungekuwa ndio unatimiza miaka 26 ungefanya nini?

Kama leo ungekuwa ndio unatimiza miaka 26 ungefanya nini?

Ushauri wangu ni sala.Aliyeumba hii dunia ni mkuu kuliko wote nimeshuhudia matendo yake katika maisha yangu.Mungu anaweza jamani mimi sina connection wala mtu mkubwa wala ufaulu wa kutisha ila Mungu anasimamia shida zangu zote hususan Kazi.Sali ibada/misa,sali rozari sali novena kila siku.Kama ni muislamu muombe Mungu kwa imani wewe ni kiumbe wake Mungu atakusaidia
 
Back
Top Bottom