Kama Lissu angekuwepo huu udhalimu dhidi ya Mbowe usingetendeka

Kama Lissu angekuwepo huu udhalimu dhidi ya Mbowe usingetendeka

Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka.

Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka.

Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa?

Hii kesi ipo kwa ajili ya kukimaliza chama chetu cha CHADEMA.
Acha upotoshaji wako na mawazo finyu.
 
Ut

Utakuwa form two wewe kwani hujui hiyo mikutano ndio imezaa kesi feki ya Mbowe ya ugaidi?
Unataka ni kufafanulie swali? ! Je! Baada ya hiyo mikutano kuzaa kesi feki ya Mbowe ya ugaidi, bado (mikutano ya kudai katiba mpya) inaendelea au imekufa?
Sasa, jibu swali wewe wa darasa la saba!
 
Mwendazake aliua mifumo yote ya utoaji haki, alianza na Bunge akalifanya la kwake, akaja JWTZ akawaweka mfukoni hadi wanateswa na mapolice wa vyeo vya hovyo hovyo hii ni aibu ya dunia, akageukia usalama wa taifa kaufanya wa kwake, viongozi wote aliowateua wakawa wanamsujudu, akaigeukia mahakama akajaribu ila Majaji wengine wakawa na misimamo thabiti ikasaidia, yule mkurugenzi wa tume utii adi huruma aisee -

Nchi haiwezi kwenda hivyo ndugu zangu.
 
Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka.

Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka.

Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa?

Hii kesi ipo kwa ajili ya kukimaliza chama chetu cha CHADEMA.
Kuna kesi moja huku Dodoma Lissu alimpiga maswali shahidi hadi akazimia!

Shahidi wa pili aliyetakiwa kuhojiwa kesho yake hakutokea akakimbia [emoji23]
 
Back
Top Bottom