Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Acha upotoshaji wako na mawazo finyu.Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka.
Lissu angewapiga maswali mazito mawakili wa serikali wasiojitambua na mashahidi wa uongo na Jamhuri ingeumbuka.
Kwani watu walioacha kazi jeshi la wananchi yaani JWTz kuomba kazi ya kumlinda mtu ni kosa?
Hii kesi ipo kwa ajili ya kukimaliza chama chetu cha CHADEMA.
Unataka ni kufafanulie swali? ! Je! Baada ya hiyo mikutano kuzaa kesi feki ya Mbowe ya ugaidi, bado (mikutano ya kudai katiba mpya) inaendelea au imekufa?Ut
Utakuwa form two wewe kwani hujui hiyo mikutano ndio imezaa kesi feki ya Mbowe ya ugaidi?
Kuna kesi moja huku Dodoma Lissu alimpiga maswali shahidi hadi akazimia!Lissu ni defence lawyer mzuri anajua njama zote za polisi na waendesha mashitaka.