Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Japo matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA si rahisi kutabiri, je iwapo Tundu Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini?
Je Mbowe akibwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini?
Je mtabaki au kutawanyika ima kuunda chama kipya kama alivyofanya Zitto Kabwe au kwenda uchawani?
Are you still expecting to get out of this limbo stronger than ever or divided than one can expect?