Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
1. Watatawanyika na kuunda chama chao ambacho hakitakuwa registered.View attachment 3202028
Japo matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA si rahisi kutabiri, je iwapo Tundu Lissu atabwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini?
Je Mbowe akibwagwa, mashabiki na wapenzi wake mtafanya nini?
Je mtabaki au kutawanyika ima kuunda chama kipya kama alivyofanya Zitto Kabwe au kwenda uchawani?
Are you still expecting to get out of this limbo stronger than ever or divided than one can expect?
Kuhama chama1. Watatawanyika na kuunda chama chao ambacho hakitakuwa registered.
2. Kwenda CCM wanaweza lakini hawatapata vyeo maana hawajatafutwa na ccm
3. In the most unlikely scenario, Wanaweza kubaki na kua quite dormant