Kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angevuna pesa nyingi sana toka kwa Rais Samia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kitendo cha rais Samia kumbatiza Simba wa Kizimkazi jina la Tundu Lisu, kimezua minong'ono mingi sana.

Wengi wakidhani kuwa ni dhihaka kwa mwanasiasa maarufu nchini ndugu Tundu Antipas Mungwai Lisu.

Lkn ukweli mchungu ni kwamba Tundu Lisu siyo mali binafsi ya Tundu Antipas Mungwai Lisu, kila mtu ana haki ya kulitumia jina hilo jinsi atakavyo.

Kama ilivyo kwa jina la Samia, mtu anaweza kulitumia jina la Tundu Lisu kumpatia mbuzi, paka ama mbwa wake.

Soma Pia: Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Kuna paka na mbwa wengi mitaani mwetu wanaitwa majina ya watu, mfano Samia Bush, Peter, n.k, lakini hakuna anayethubutu kulalamika.

Laiti kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angetumia elimu yake ya sheria kudai fidia toka kwa rais Samia.
 
Hivi hao wanaooitwa Waheshimiwa wasomi wawajua ?

Atalipwa tu hela nzuri, na juzi hapo walimtangulizia elfu sijui tano sijui hamsini ya kununua gari.

Kwa DPP ataenda tuuu.
 
Kitendo cha rais Samia kumbatiza Simba wa Kizimkazi jina la Tundu Lisu, kimezua minong'ono mingi sana.

Wengi wakidhani kuwa ni dhihaka kwa mwanasiasa maarufu nchini ndugu Tundu Antipas Mungwai Lisu.

Lkn ukweli mchungu ni kwamba Tundu Lisu siyo mali binafsi ya Tundu Antipas Mungwai Lisu, kila mtu ana haki ya kulitumia jina hilo jinsi atakavyo.

Kama ilivyo kwa jina la Samia, mtu anaweza kulitumia jina la Tundu Lisu kumpatia mbuzi, paka ama mbwa wake.

Soma Pia: Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Kuna paka na mbwa wengi mitaani mwetu wanaitwa majina ya watu, mfano Samia Bush, Peter, n.k, lakini hakuna anayethubutu kulalamika.

Laiti kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angetumia elimu yake ya sheria kudai fidia toka kwa rais Samia.
Nini kimetokea Appostle?
 
Lissu anazidi kujitwalia Heshima,

Lissu kama Simba wa Yuda
 
Back
Top Bottom