Kama lugha ya kufundishia sekondari na Chuo Kikuu ni Kiingereza basi na shule zote za msingi iwe Kiingereza

Kama lugha ya kufundishia sekondari na Chuo Kikuu ni Kiingereza basi na shule zote za msingi iwe Kiingereza

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli.

Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe Kiingereza.

Watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa Kiingereza ( English medium) wanapata shida ku adapt masomo kwa Kiingereza.

Tujifunze kwa Nchi nyengine wanafanyeje. If the national language is Swahili and English tuchague lugha gani ya kufundishia from kindergarten to secondary school
 
Shule ya msingi kwa lugha nyengine tungeiita Foundation school .Tunaweka msingi kweli.

Kama lugha ya kufundishia sekondari ni kingeleza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe kingeleza.watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa kingeleza ( English medium) wanapata shida ku adapt masomo kwa kingeleza.
Tujifunze kwa Nchi nyengine wanafanyeje.If national language is swahi and English tuchague lugha gani ya kufundishia from kindergarten to secondary school
Kingeleza au kingereza
Jifunze kuandika Vizuri
 
Ngoja kwanza tuzimalize sledi za maza mkuu...

Leo ni siku yake.😂😂
 
Kweli lugha ya kufundishia shule za msingi za government iwe english pia wawaajiri walim wa arts waliosomea lugha wakafundishe primary
 
Kiswahili ndio iwe lugha ya kujifunzia. Kwanini ulazimishe kiingereza? Au unafikiri bado tupo chini ya utawala wa mwingireza!
 
Kwa nini isiwe masomo ya sekondar na chuo kikuu ndio yabadilishwe Lugha yafundishwe Kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom