Kingeleza au kingerezaShule ya msingi kwa lugha nyengine tungeiita Foundation school .Tunaweka msingi kweli.
Kama lugha ya kufundishia sekondari ni kingeleza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe kingeleza.watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa kingeleza ( English medium) wanapata shida ku adapt masomo kwa kingeleza.
Tujifunze kwa Nchi nyengine wanafanyeje.If national language is swahi and English tuchague lugha gani ya kufundishia from kindergarten to secondary school
Sawa mkuuKingeleza au kingereza
Jifunze kuandika Vizuri
Na mimi nashangaaa kwanini serikali inashindwa kufanya maamuzi magumu katika hili , tuondoe language barriers na ubaguzi katika elimu ......Hoja mujarabu sana