Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

Tumia akili mkuu hata za kuazima MAANDAMANO ya Kenya yalimfanya RAIS RUTO na RAILA kukutana na kuzaa MAZUNGUMZO Jambo ambalo lilikuwa Gumu na toka waanze Mazungumzo hakuna tena Maandamano yaliyofanyika.
PUNGUZA UCHAWA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

Kwani lengo la màandamano ni Euro na Raila kukutana au Kupunguza ughali wa maisha hasa kuhusu bei ya Unga?
 
Tumia akili mkuu hata za kuazima MAANDAMANO ya Kenya yalimfanya RAIS RUTO na RAILA kukutana na kuzaa MAZUNGUMZO Jambo ambalo lilikuwa Gumu na toka waanze Mazungumzo hakuna tena Maandamano yaliyofanyika.
PUNGUZA UCHAWA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Wamezungumza kuhusu nini mkuu?? na matokeo yake ni yapi??
 
Wamezungumza kuhusu nini mkuu?? na matokeo yake ni yapi??

Hapo ndio Watu tunapopishana.

Vijana wa Watu wameambiwa waandamane ili kudai katiba au haki Fulani. Baada ya maandamano wapo watakaopata madhara alafu mbowe ataitwa Ikulu watafanya maridhiano sijui nini bila katiba au haki hiyo kupatikana alafu ndio imeisha hiyo
 
Maandamano ya Kudai Haki hayawezi kuitwa maandamano ya Amani. Hapa tunazungumzia ishu ya Mantiki.

Kuandamana kudai haki tafsiri yake ni kushinikiza jambo ambalo limeshakataliwa.
Na kama limekataliwa kinachoenda kutokea ni ugomvi ambao kimsingi ndio uvunjifu wa amani wenyewe. Licha ya kuwa wazima màandamano ndio watakuwa waliovuruga Amani.

Ni tofauti na kukaa meza ya mazungumzo ambapo wote mahasimu mpo tayari kujadili pasipo fujo yoyote.
Yes, peaceful demonstrations are a common and legitimate means for people to demand justice from any regime. If the level of public support is high, it can exert significant pressure on a regime. As such, when a movement gains widespread support, it becomes more challenging for the regime to ignore.
 
Sasa kutia pressure utawala ambao hautaki kutoa haki hiyo huoni ndio kuvunja Amani yenyewe?
 
Sasa kutia pressure utawala ambao hautaki kutoa haki hiyo huoni ndio kuvunja Amani yenyewe?
In unity there is strength; the voice of the many is the voice of God, even oppressive governments fear the power of numbers. When an oppressive government sees the masses united, it becomes afraid and listens to what they demand.
 
Tarehe 24 itajulikana kama kuna umoja au Lah!

Shida kubwa Tanzania ni ubinafsi na Unafiki
 
Tarehe 24 itajulikana kama kuna umoja au Lah!

Shida kubwa Tanzania ni ubinafsi na Unafiki
It is a continuous demonstration. It is not only on 24! 24 is just the begging.... it might be a slow start; who knows!. What is exciting is that, at last we are trying to plant the seeds.. Mind you: this is not a quick task like a blow job! It will take a time... It will require a lot of courage and struggle. A lot will suffer even die.
 
Kwema Waheshimiwa!

Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo.

Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa maandamano hii inamaanisha njia ya amani yaani ya kukaa mezani imeshindikana.

Maandamano ya Amani mara nyingi huhusu kumpongeza mtu fulani, kusherehekea jambo fulani, kushangilia ushindi fulani nk, lakini kukishakuwa na madai ya haki fulani hayawezi kuwa maandamano ya Amani.

Sio ajabu Màandamano ya Amani yoyote duniani yenye lengo la kudai haki utakuta vyombo vya dola vikiyazuia kwa namna mbalimbali ikiwemo Nguvu.

Watu wanaofanya maandamano ya Amani ya kusherehekea, kupongeza au kushangilia jambo fulani hata uwape Bunduki au mabomu hawawezi kuleta madhara.

Lakini maandamano ya kudai Haki ambayo hayawezi itwa maandamano ya amani huwezi wapa Watu hao bunduki au mabomu kwani kitakachotokea kinajulikana.

Swali ni je, ikiwa maandamano ya Kenya ambayo nayo yaliitwa ya Amani yalishindwa, nini tutegemee kwenye maandamano yetu?

Je, Wapinzani wanataka kupima kiwango cha ushawishi wao kwa wananchi dhidi ya serikali? Ni hakika kuwa Wito wa maandamano kwa wanasiasa pia huchukulia kama kipimo cha nguvu ya ushawishi kwa Wananchi.

Nitakuwepo Route ya Mbezi ya Kimara.

Nawatakia Jumatatu njema.
Kuna maandamano ya amani yanayolenga kuwasilisha au kuonyesha hisia zao wananchi kuhusu haki waliyoikosa au wanayoihitaji kuipata pia ni haya maandamano ya amani yaani kuomba kwa njia ya maandamano ya kiustaarabu. Hapa idadi ya watu ni kipimo tosha kwa serikali kuangalia upya sera zake. Haya mara nyingi hayana physical confrotation na yanajenga utamaduni mzuri wa kidemokrasia
 
Kuna maandamano ya amani yanayolenga kuwasilisha au kuonyesha hisia zao kuhusu haki waliyoikosa au wanayoihitaji kuipata pia ni maandamano ya amani yaani kuomba kwa njia ya maandamano ya kiustaarabu. Hapa idadi ya watu ni kipimo tosha kwa serikali kuangalia upya sera zake. Haya mara nyingi hayana physical confrotation na utamaduni mzuri wa kidemokrasia

Lakini hiyo haki walishaijadili mezani na imeshindikana.
 
It is a continuous demonstration. It is not only on 24! 24 is just the begging.... it might be a slow start; who knows!. What is exciting is that, at last we are trying to plant the seeds.. Mind you: this is not a quick task like a blow job! It will take a time... It will require a lot of courage and struggle. A lot will suffer even die.

Vizuri! Kila la Kheri.
 
Back
Top Bottom