Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

Kwani lengo la màandamano ni Euro na Raila kukutana au Kupunguza ughali wa maisha hasa kuhusu bei ya Unga?
 
Wamezungumza kuhusu nini mkuu?? na matokeo yake ni yapi??
 
Wamezungumza kuhusu nini mkuu?? na matokeo yake ni yapi??

Hapo ndio Watu tunapopishana.

Vijana wa Watu wameambiwa waandamane ili kudai katiba au haki Fulani. Baada ya maandamano wapo watakaopata madhara alafu mbowe ataitwa Ikulu watafanya maridhiano sijui nini bila katiba au haki hiyo kupatikana alafu ndio imeisha hiyo
 
Yes, peaceful demonstrations are a common and legitimate means for people to demand justice from any regime. If the level of public support is high, it can exert significant pressure on a regime. As such, when a movement gains widespread support, it becomes more challenging for the regime to ignore.
 
Sasa kutia pressure utawala ambao hautaki kutoa haki hiyo huoni ndio kuvunja Amani yenyewe?
 
Sasa kutia pressure utawala ambao hautaki kutoa haki hiyo huoni ndio kuvunja Amani yenyewe?
In unity there is strength; the voice of the many is the voice of God, even oppressive governments fear the power of numbers. When an oppressive government sees the masses united, it becomes afraid and listens to what they demand.
 
Tarehe 24 itajulikana kama kuna umoja au Lah!

Shida kubwa Tanzania ni ubinafsi na Unafiki
 
Tarehe 24 itajulikana kama kuna umoja au Lah!

Shida kubwa Tanzania ni ubinafsi na Unafiki
It is a continuous demonstration. It is not only on 24! 24 is just the begging.... it might be a slow start; who knows!. What is exciting is that, at last we are trying to plant the seeds.. Mind you: this is not a quick task like a blow job! It will take a time... It will require a lot of courage and struggle. A lot will suffer even die.
 
Kuna maandamano ya amani yanayolenga kuwasilisha au kuonyesha hisia zao wananchi kuhusu haki waliyoikosa au wanayoihitaji kuipata pia ni haya maandamano ya amani yaani kuomba kwa njia ya maandamano ya kiustaarabu. Hapa idadi ya watu ni kipimo tosha kwa serikali kuangalia upya sera zake. Haya mara nyingi hayana physical confrotation na yanajenga utamaduni mzuri wa kidemokrasia
 
Lakini hiyo haki walishaijadili mezani na imeshindikana.
 
Vizuri! Kila la Kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…