Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
Suala sio kuboresha tu. Suala unaiboresha kwa viwango gani??UkiKataa wewe inatosha.
Tutumie hata mkaa wa miti ilimradi iboreshwe Kwa Ajili ya mizigo
Basi huna akili! Nisiendelee kubishana na mtu asiye na akiliNdio ni sawa,Kwa nini sio sawa? Unadhani lengo la kuboresha reli ni kusafirisha Abiria au mizigo? Hiyo reli ya kati imekufaidisha nini kwenye Nchi Hadi sasa?
Reli ya kati ni hasara hatuwez kurudi huko teba.Kama hatuna hela tuliwezaje reli ya kati?
Akili zako ziko wapi?Basi huna akili
Hakuna walichosanuka ,hoja ni Je inaleta Tija au hauleti Tija.Suala sio kuboresha tu. Suala unaiboresha kwa viwango gani??
Kenya walijengewa na wachina ya dizeli saivi wamesanuka wameona sie tulikuwa na akili kuliko wao kwa kujenga ya umeme! Wameanza kutafuta mkopo kui upgrade reli yao kuwa ya umeme.
Sisi kwa nini tufanye kitu ambacho hata wao walikiona kuwa ni kosa wakatuiga sie???
Ikianza kubeba mizigo tutaona faida yake.Reli ya kati ni hasara hatuwez kurudi huko teba.
Trilioni 11 kujengea km 700 za kubebea Abiria una Akili timamu kichwani?
Mizigo Iko wapi huko? Kwa hiyo itaanza kubeba mizigo lini?Ikianza kubeba mizigo tutaona faida yake.
Na hili halifanyi tufanye ujinga zaidi wa kujenga reli ya dizeli tena kwa mkopo!
Tija gani italeta? Huoni huo ni mtego kama waliofanyiwa Kenya???Hakuna walichosanuka ,hoja ni Je inaleta Tija au hauleti Tija.
Sgr yenu ya kupigia picha na Ile ya Kenya ipi inaleta faida kiuchumi?
Kama ni hivyo basi Kenya wasingekuwa wanatafuta mkopo ku upgrade reli yao ya treni ya dizeli kuiwekea umeme!Mizigo Iko wapi huko? Kwa hiyo itaanza kubeba mizigo lini?
Mwisho kwani ya diesel haibebi mizigo? Unajua Tazara cap gauge ime kuwa designed Kwa speed ngapi na Kwa nini haifikiwi?
Wapi wanaofanya hayo? Wao wanatafuta hela ku extend reli sio ku upgrade ,hata hivyo reli Yao Ina option hiyoKama ni hivyo basi Kenya wasingekuwa wanatafuta mkopo ku upgrade reli yao ya treni ya dizeli kuiwekea umeme!
Hoja yako kwa kifupi ni mfu.
Acha ujuha wewe. Kenya saivi anafanya vitu viwili. Kuipeleka iyo reli to Malabo mpakani na Uganda na pia kutafuta fedha za kui upgrade to umeme.Wapi wanaofanya hayo? Wao wanatafuta hela ku extend reli sio ku upgrade ,hata hivyo reli Yao Ina option hiyo
🚮🚮 Weka ushahidi wewe mjingaAcha ujuha wewe. Kenya saivi anafanya vitu viwili. Kuipeleka iyo reli to Malabo mpakani na Uganda na pia kutafuta fedha za kui upgrade to umeme.
Kwani kutoka Dar hadi Kigoma ni KM ngapi?TAZARA urefu wake ni 1860km, unajua gharama za kujenga SGR ya urefu huo?
Hiyo bajeti anatoa nani au ndio unataka ulimie meno.
Kwani sasa hivi inatumia nini?Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.
Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.
Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.
Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.
Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
Dogo kama hujui ni hivi hiyo rail ya tazara inapojengwa mwaka 1970 hadi 1975 hamkoa hata mia zaidi ya kupokea hela hiyo reli walichina walitoa dola 400 milliona kama dola 3 billionn tatu za sasa kujenga hiyo reli kama msaada wa bure kabisaKuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.
Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.
Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.
Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.
Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
Kwani kwasasa inatumia mafuta gani?Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.
Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.
Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.
Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.
Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
Mkuu wangu uko kuwatetea wale wanaojenga RELI kuelekea PWANI YA MAGHARIBI MWA AFRIKA?!![emoji44][emoji1787]Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.
Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.
Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.
Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.
Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
Pia hajui hiyo reli walijenga wachina sio tanzania ...bure bure kabisa sasa nae kujitia ana uchungu mwaka 2024.......wakati wachina waliona huruma tu mwaka 1970.....na kutoa aid bila riba bila mashart yeyote yaleKwani kwasasa inatumia mafuta gani?
Kwahiyo unataka tuongeze trilioni nyingine kwenye mkopo. Kila kitu kukopa si mtauzq nchi nyie wapuuziKwani kutoka Dar hadi Kigoma ni KM ngapi?
Mbona tunajenga reli ya kutumia umeme?