Kama macho ya idara yasipoona, Tanzania itapita kipindi kigumu sana kisiasa na kiuchumi

Labda CCM iondoke madarakani lkn kama bado ipo sahau.watu wa nchi jirani ndo wameajiriwa na wenye nchi ambao ni wazawa wameachwa mitaani wanazurura tu hawana ajira.ukija Kigoma utashangaa kuona watumishi na matajiri wa mkoa huu ni warusi.meya ni mtusi mpaka wameunda chama chao cha warusi lina nchi na makachero wao wapo tu.wacha tu ili tuje kuwa kama jongo.
 
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo.
Ili hili lifanyike, yaani Idara ifungue macho, hatua ya kwanza ni hiyo idara kwanza iwe na hayo macho, macho yakiishakuwepo ndipo sasa iyafungue!, its very unfortunately, hawa jamaa zetu walikuwa zamani, siku hizi ni hakuna kitu kabisa pale, sio blind, bali hawana kabisa macho!.
Chinga alitoka jirani, na yule Blaza wangu was an impostor kutoka kwa jirani!.

Kitu kizuri kuhusu majirani, they are very bright and brilliant na ni majembe kweli!.

Ile 2014 nilipoipata tuu Ile tip ya ni nani, analetwa 2015, nikawatonya humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
nikidhani haya majamaa yalivyo tamalaki humu jf yatafanyia kitu !, kumbe ni bure kabisa, hamna kitu!.

Na baada ya kuwa, there was nothing more we could do nikashauri Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele ‘Maslahi ya Taifa’? Ila pia tukashauri for future Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?

Baada ya kuwapelekea moto mabeberu, wakaanza kimpangia njama za kumuangamiza, watu humu tukaamua kujitolea kumsaidia kwa kuyatonya hayo majamaa njama hizo kama hivi
Haya majitu bure kabisa, yakashindwa kumprotect, wakamfikia, ikawa ndio vile tena!.
P
 
Hawa watu wameshafeli,imagine wamezuia kila kitu haramu fine,lakini black market has some impact to economy,wamekaba kila Kona lakini uchumi unawashinda,sisi tunawapima kwenya budget basi,bajeti haiongei,basi wajiongeze pesa iwepo mtaani wapi.
Wanakaba halafu hawajui rough za kiuchumi manufacturing ya mitambo ya chuma hatuwezi hata Uganda wanatushinda.
 
Cjui km watakuelewa, maana umeeleweka
Tatizo ni wengi hatukuelewi unachomaanisha...Ni hatari sana matakwa na maslahi ya binafsi yanapogeuzwa kuwa ni ya nchi huku Kila kundi lake likiwa na godfather wake..Itafika muda nayo hata sasa Kuna dalili, hayo makundi yakimaslahi binafsi ndiyo yatakayo anza kupimana nguvu na Kila mmoja atataka kushika usukani ndipo hapo tutapiganishwa na hao godfathers wao...On the other hand liko tumaini NAMI nimeshaliona japo wengi hawalioni, Tanzania njema is a must!
 
HIVI NCHI ZOTE ZINGEKUWA NA MENTALITY YA KUOGOPA MAJIRANI AU WAGENI HII DUNIA INGEKUWAJE??.YAANI MNATAKA TZ IWE KAMA KOREA KASKAZINI😀😀😀
 
Idara ni watu, serikali ni hao hao, kinachotakiwa ni wananchi mmoja mmoja hadi taifa wapate mawazo chanya na ye ye ufanisi.
Idara na serikali vitaimarika kwa kuwa hutokana au ni sehemu ya wananchi.
 
Dah
 
Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Kama haijalala waambie mpaka CDF anazungumza kuhusu Raia wa Kigeni kujipenyeza, walikuwa wanacheza karata au!?
 
Ahahahahaha! Nazungumzia "premises of argument". Sijui unazielewa?
Sizijui,ufafanuzi tafadhali!
Tanganyika LISSU alimiminiwa risasi 36 mpaka kesho wahusika hawajawahi tafutwa popote na yeyote,US DT alirushiwa risasi mbili tu dakika kadhaa mhusika wa kwanza akauliwa na mwingine akatiwa nguvuni,kuna uwiano hapo wa hizo idara kweli?
 
Kitu tunachopaswa kuelewa ni kuwa: Idara inaongozwa au ina watu ambao ni zao la hawahawa waTz, ambao ni wajanjawajanja, uzalendo hakuna, waoga wa kusimamia sheria, waoga wa kudai haki zao, wavivu, wanawaza short cuts na wizi wa mali za umma, wamejaa ujanja na dhuluma za chini kwa chini - nenda polisi, TRA, mahakamani n.k.WaTz ambao viongozi wapo tayari kununua bila sababu za msingi magari ya kuanzia million 300 + huku wakichangisha misaada ya madawati na vyoo kutoka balozi za Norway etc.Hao watu ndo wako huko kwenye Idara....
Hakuna kitakachoweza kufanyika kamwe - kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Umeandika vizuri sana! Rejea hoja za Dr. Mtikila... Alishayachambua haya. Msome Prof Lumumba kwa ufasaha zaidi!
Kuna tatizo la wanyarwanda na warundi. Lakini kwa sasa la wachina ndilo Lina trend!
Wanajiingiza nchini kwa uratibu wa nchi zao. Na mojawapo ya majukumu ni ushushushu pamoja na kuzaliana na WaTanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…