Kama macho ya idara yasipoona, Tanzania itapita kipindi kigumu sana kisiasa na kiuchumi

Taifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya zida pamoja na kufanya maamuzi magumu kwa muktadha wa Taifa letu miaka 100 inayokuja.
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo. Hasa kupata ardhi na malighafi za Taifa.
Pili nilazima sera zetu ziwawezeshe wazawa sasa hivi mataifa jirani wanawezesha watu wao kuja wekeeza ndani ya Taifa letu na kuzaa na watu wetu nakuwa manamba ndani ya taifa lao.
Tatu nilazima idara ifanye mabadiliko makubwa yakimkakati kwenye sera za vyama vingi ili kuepeuka kuchomekewa watu kwenye mifumo kama tunataka kuiga Russia au wachina ijulikane na kama tunataka kuwa wamagharibi ijulikane. Hii sera ya kutoingiliana na upande wowote huko tuendako haitokuwa na nguvu na kwa mwendo huu ita hii sera itaangusha mataifa mengi.

Nne dunia ina enda kwa kasi sana nilazima idara ikumbuke taifa lisilo kuwa na watu imara lita anguka angalieni kongo angalieni Libya nk yote ni majibu ya idara zilizo lala nakuwaacha watawala wakatawala wanavyo taka namwisho wananchi wakawachoka wakaziangusha serikali.
Idara haina budi kujifunza kwa Libya yakuwa Watu wa Libya hawakuwa na sababu yakupinduwa serikali yao walikuwa wakipata kila kitu ila wana nchi walichoka mauwaji ya wasiojulikana usalama uliokuwa umekithiri kiasi ikawa kila walipo watu wawili mmoja mwana idara pamoja na hayo bado wananchi wakaiangusha serikali. Je kwanini na sisi vizazi vyetu vifike huko? Nidhahiri shahiri kwa muuondo wa chama tawala na mienendo ya siasa siku moja taifa laweza kujipata huko kama idara hamto simama kuwaambia ukweli watawala nje wananchi wanajisikiaje.

Tano idara nilazima ijikite ktk kuangalia mapato ya Taifa nakupambana na wizi na ufisadi mkubwa ktk mifumo ya nchi pasipokujali huyu ni nano au anatoka wapi. Watanzania bado tupo chini kwenye kodi na niwavivu kulipa kodi Kenya na mataifa mengine wameweza je kwa nini sisi bado budget yetu ni yategemezi na kwa hali ilivyo mataifa yanatupa support yatakuwa hayafanyi hivyo kwamfano lile fungu labku support demokrasia huwenda tusipate why wameshajuwa hakuna upinzania ni sarakasi tu tunacheza hivyo bora wakae na pesa zao hivyo nilazima idara iwe makini na walipa kodi
Labda CCM iondoke madarakani lkn kama bado ipo sahau.watu wa nchi jirani ndo wameajiriwa na wenye nchi ambao ni wazawa wameachwa mitaani wanazurura tu hawana ajira.ukija Kigoma utashangaa kuona watumishi na matajiri wa mkoa huu ni warusi.meya ni mtusi mpaka wameunda chama chao cha warusi lina nchi na makachero wao wapo tu.wacha tu ili tuje kuwa kama jongo.
 
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo.
Ili hili lifanyike, yaani Idara ifungue macho, hatua ya kwanza ni hiyo idara kwanza iwe na hayo macho, macho yakiishakuwepo ndipo sasa iyafungue!, its very unfortunately, hawa jamaa zetu walikuwa zamani, siku hizi ni hakuna kitu kabisa pale, sio blind, bali hawana kabisa macho!.
Chinga alitoka jirani, na yule Blaza wangu was an impostor kutoka kwa jirani!.

Kitu kizuri kuhusu majirani, they are very bright and brilliant na ni majembe kweli!.

Ile 2014 nilipoipata tuu Ile tip ya ni nani, analetwa 2015, nikawatonya humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
nikidhani haya majamaa yalivyo tamalaki humu jf yatafanyia kitu !, kumbe ni bure kabisa, hamna kitu!.

Na baada ya kuwa, there was nothing more we could do nikashauri Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele ‘Maslahi ya Taifa’? Ila pia tukashauri for future Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?

Baada ya kuwapelekea moto mabeberu, wakaanza kimpangia njama za kumuangamiza, watu humu tukaamua kujitolea kumsaidia kwa kuyatonya hayo majamaa njama hizo kama hivi
Haya majitu bure kabisa, yakashindwa kumprotect, wakamfikia, ikawa ndio vile tena!.
P
 
Taifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya zida pamoja na kufanya maamuzi magumu kwa muktadha wa Taifa letu miaka 100 inayokuja.
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo. Hasa kupata ardhi na malighafi za Taifa.
Pili nilazima sera zetu ziwawezeshe wazawa sasa hivi mataifa jirani wanawezesha watu wao kuja wekeeza ndani ya Taifa letu na kuzaa na watu wetu nakuwa manamba ndani ya taifa lao.
Tatu nilazima idara ifanye mabadiliko makubwa yakimkakati kwenye sera za vyama vingi ili kuepeuka kuchomekewa watu kwenye mifumo kama tunataka kuiga Russia au wachina ijulikane na kama tunataka kuwa wamagharibi ijulikane. Hii sera ya kutoingiliana na upande wowote huko tuendako haitokuwa na nguvu na kwa mwendo huu ita hii sera itaangusha mataifa mengi.

Nne dunia ina enda kwa kasi sana nilazima idara ikumbuke taifa lisilo kuwa na watu imara lita anguka angalieni kongo angalieni Libya nk yote ni majibu ya idara zilizo lala nakuwaacha watawala wakatawala wanavyo taka namwisho wananchi wakawachoka wakaziangusha serikali.
Idara haina budi kujifunza kwa Libya yakuwa Watu wa Libya hawakuwa na sababu yakupinduwa serikali yao walikuwa wakipata kila kitu ila wana nchi walichoka mauwaji ya wasiojulikana usalama uliokuwa umekithiri kiasi ikawa kila walipo watu wawili mmoja mwana idara pamoja na hayo bado wananchi wakaiangusha serikali. Je kwanini na sisi vizazi vyetu vifike huko? Nidhahiri shahiri kwa muuondo wa chama tawala na mienendo ya siasa siku moja taifa laweza kujipata huko kama idara hamto simama kuwaambia ukweli watawala nje wananchi wanajisikiaje.

Tano idara nilazima ijikite ktk kuangalia mapato ya Taifa nakupambana na wizi na ufisadi mkubwa ktk mifumo ya nchi pasipokujali huyu ni nano au anatoka wapi. Watanzania bado tupo chini kwenye kodi na niwavivu kulipa kodi Kenya na mataifa mengine wameweza je kwa nini sisi bado budget yetu ni yategemezi na kwa hali ilivyo mataifa yanatupa support yatakuwa hayafanyi hivyo kwamfano lile fungu labku support demokrasia huwenda tusipate why wameshajuwa hakuna upinzania ni sarakasi tu tunacheza hivyo bora wakae na pesa zao hivyo nilazima idara iwe makini na walipa kodi
Hawa watu wameshafeli,imagine wamezuia kila kitu haramu fine,lakini black market has some impact to economy,wamekaba kila Kona lakini uchumi unawashinda,sisi tunawapima kwenya budget basi,bajeti haiongei,basi wajiongeze pesa iwepo mtaani wapi.
Wanakaba halafu hawajui rough za kiuchumi manufacturing ya mitambo ya chuma hatuwezi hata Uganda wanatushinda.
 
Cjui km watakuelewa, maana umeeleweka
Tatizo ni wengi hatukuelewi unachomaanisha...Ni hatari sana matakwa na maslahi ya binafsi yanapogeuzwa kuwa ni ya nchi huku Kila kundi lake likiwa na godfather wake..Itafika muda nayo hata sasa Kuna dalili, hayo makundi yakimaslahi binafsi ndiyo yatakayo anza kupimana nguvu na Kila mmoja atataka kushika usukani ndipo hapo tutapiganishwa na hao godfathers wao...On the other hand liko tumaini NAMI nimeshaliona japo wengi hawalioni, Tanzania njema is a must!
 
HIVI NCHI ZOTE ZINGEKUWA NA MENTALITY YA KUOGOPA MAJIRANI AU WAGENI HII DUNIA INGEKUWAJE??.YAANI MNATAKA TZ IWE KAMA KOREA KASKAZINI😀😀😀
 
Taifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya zida pamoja na kufanya maamuzi magumu kwa muktadha wa Taifa letu miaka 100 inayokuja.
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo. Hasa kupata ardhi na malighafi za Taifa.
Pili nilazima sera zetu ziwawezeshe wazawa sasa hivi mataifa jirani wanawezesha watu wao kuja wekeeza ndani ya Taifa letu na kuzaa na watu wetu nakuwa manamba ndani ya taifa lao.
Tatu nilazima idara ifanye mabadiliko makubwa yakimkakati kwenye sera za vyama vingi ili kuepeuka kuchomekewa watu kwenye mifumo kama tunataka kuiga Russia au wachina ijulikane na kama tunataka kuwa wamagharibi ijulikane. Hii sera ya kutoingiliana na upande wowote huko tuendako haitokuwa na nguvu na kwa mwendo huu ita hii sera itaangusha mataifa mengi.

Nne dunia ina enda kwa kasi sana nilazima idara ikumbuke taifa lisilo kuwa na watu imara lita anguka angalieni kongo angalieni Libya nk yote ni majibu ya idara zilizo lala nakuwaacha watawala wakatawala wanavyo taka namwisho wananchi wakawachoka wakaziangusha serikali.
Idara haina budi kujifunza kwa Libya yakuwa Watu wa Libya hawakuwa na sababu yakupinduwa serikali yao walikuwa wakipata kila kitu ila wana nchi walichoka mauwaji ya wasiojulikana usalama uliokuwa umekithiri kiasi ikawa kila walipo watu wawili mmoja mwana idara pamoja na hayo bado wananchi wakaiangusha serikali. Je kwanini na sisi vizazi vyetu vifike huko? Nidhahiri shahiri kwa muuondo wa chama tawala na mienendo ya siasa siku moja taifa laweza kujipata huko kama idara hamto simama kuwaambia ukweli watawala nje wananchi wanajisikiaje.

Tano idara nilazima ijikite ktk kuangalia mapato ya Taifa nakupambana na wizi na ufisadi mkubwa ktk mifumo ya nchi pasipokujali huyu ni nano au anatoka wapi. Watanzania bado tupo chini kwenye kodi na niwavivu kulipa kodi Kenya na mataifa mengine wameweza je kwa nini sisi bado budget yetu ni yategemezi na kwa hali ilivyo mataifa yanatupa support yatakuwa hayafanyi hivyo kwamfano lile fungu labku support demokrasia huwenda tusipate why wameshajuwa hakuna upinzania ni sarakasi tu tunacheza hivyo bora wakae na pesa zao hivyo nilazima idara iwe makini na walipa kodi
Idara ni watu, serikali ni hao hao, kinachotakiwa ni wananchi mmoja mmoja hadi taifa wapate mawazo chanya na ye ye ufanisi.
Idara na serikali vitaimarika kwa kuwa hutokana au ni sehemu ya wananchi.
 
Ili hili lifanyike, yaani Idara ifungue macho, hatua ya kwanza ni hiyo idara kwanza iwe na hayo macho, macho yakiishakuwepo ndipo sasa iyafungue!, its very unfortunately, hawa jamaa zetu walikuwa zamani, siku hizi ni hakuna kitu kabisa pale, sio blind, bali hawana kabisa macho!.
Chinga alitoka jirani, na yule Blaza wangu was an impostor kutoka kwa jirani!.

Kitu kizuri kuhusu majirani, they are very bright and brilliant na ni majembe kweli!.

Ile 2014 nilipoipata tuu Ile tip ya ni nani, analetwa 2015, nikawatonya humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
nikidhani haya majamaa yalivyo tamalaki humu jf yatafanyia kitu !, kumbe ni bure kabisa, hamna kitu!.

Na baada ya kuwa, there was nothing more we could do nikashauri Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele ‘Maslahi ya Taifa’? Ila pia tukashauri for future Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?

Baada ya kuwapelekea moto mabeberu, wakaanza kimpangia njama za kumuangamiza, watu humu tukaamua kujitolea kumsaidia kwa kuyatonya hayo majamaa njama hizo kama hivi
Haya majitu bure kabisa, yakashindwa kumprotect, wakamfikia, ikawa ndio vile tena!.
P
Dah
 
Unahisi hiyo "idara" imelala!? Jichanganye uone ilivyo macho? Unafikiri wewe unashiba makande na kuanza kukosoa tu Kisha unatembea kwa mguu usiku wa manane bila hofu unafikiri ni kwasababu "idara" imelala? Nyambafu!!?
Kama haijalala waambie mpaka CDF anazungumza kuhusu Raia wa Kigeni kujipenyeza, walikuwa wanacheza karata au!?
 
Ahahahahaha! Nazungumzia "premises of argument". Sijui unazielewa?
Sizijui,ufafanuzi tafadhali!
Tanganyika LISSU alimiminiwa risasi 36 mpaka kesho wahusika hawajawahi tafutwa popote na yeyote,US DT alirushiwa risasi mbili tu dakika kadhaa mhusika wa kwanza akauliwa na mwingine akatiwa nguvuni,kuna uwiano hapo wa hizo idara kweli?
 
Kitu tunachopaswa kuelewa ni kuwa: Idara inaongozwa au ina watu ambao ni zao la hawahawa waTz, ambao ni wajanjawajanja, uzalendo hakuna, waoga wa kusimamia sheria, waoga wa kudai haki zao, wavivu, wanawaza short cuts na wizi wa mali za umma, wamejaa ujanja na dhuluma za chini kwa chini - nenda polisi, TRA, mahakamani n.k.WaTz ambao viongozi wapo tayari kununua bila sababu za msingi magari ya kuanzia million 300 + huku wakichangisha misaada ya madawati na vyoo kutoka balozi za Norway etc.Hao watu ndo wako huko kwenye Idara....
Hakuna kitakachoweza kufanyika kamwe - kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Taifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya zida pamoja na kufanya maamuzi magumu kwa muktadha wa Taifa letu miaka 100 inayokuja.
Kwanza nilazima idara ifungue macho juu ya mipaka na uraia wa Taifa letu nilazima serikali iwe makini sana na wimbi kubwa la mataifa jirani kuingia nakutoka mpaka na kupata uraia ndani ya Taifa lakini wakiwa na malengo ya kutawala siku zijazo. Hasa kupata ardhi na malighafi za Taifa.
Pili nilazima sera zetu ziwawezeshe wazawa sasa hivi mataifa jirani wanawezesha watu wao kuja wekeeza ndani ya Taifa letu na kuzaa na watu wetu nakuwa manamba ndani ya taifa lao.
Tatu nilazima idara ifanye mabadiliko makubwa yakimkakati kwenye sera za vyama vingi ili kuepeuka kuchomekewa watu kwenye mifumo kama tunataka kuiga Russia au wachina ijulikane na kama tunataka kuwa wamagharibi ijulikane. Hii sera ya kutoingiliana na upande wowote huko tuendako haitokuwa na nguvu na kwa mwendo huu ita hii sera itaangusha mataifa mengi.

Nne dunia ina enda kwa kasi sana nilazima idara ikumbuke taifa lisilo kuwa na watu imara lita anguka angalieni kongo angalieni Libya nk yote ni majibu ya idara zilizo lala nakuwaacha watawala wakatawala wanavyo taka namwisho wananchi wakawachoka wakaziangusha serikali.
Idara haina budi kujifunza kwa Libya yakuwa Watu wa Libya hawakuwa na sababu yakupinduwa serikali yao walikuwa wakipata kila kitu ila wana nchi walichoka mauwaji ya wasiojulikana usalama uliokuwa umekithiri kiasi ikawa kila walipo watu wawili mmoja mwana idara pamoja na hayo bado wananchi wakaiangusha serikali. Je kwanini na sisi vizazi vyetu vifike huko? Nidhahiri shahiri kwa muuondo wa chama tawala na mienendo ya siasa siku moja taifa laweza kujipata huko kama idara hamto simama kuwaambia ukweli watawala nje wananchi wanajisikiaje.

Tano idara nilazima ijikite ktk kuangalia mapato ya Taifa nakupambana na wizi na ufisadi mkubwa ktk mifumo ya nchi pasipokujali huyu ni nano au anatoka wapi. Watanzania bado tupo chini kwenye kodi na niwavivu kulipa kodi Kenya na mataifa mengine wameweza je kwa nini sisi bado budget yetu ni yategemezi na kwa hali ilivyo mataifa yanatupa support yatakuwa hayafanyi hivyo kwamfano lile fungu labku support demokrasia huwenda tusipate why wameshajuwa hakuna upinzania ni sarakasi tu tunacheza hivyo bora wakae na pesa zao hivyo nilazima idara iwe makini na walipa kodi
Umeandika vizuri sana! Rejea hoja za Dr. Mtikila... Alishayachambua haya. Msome Prof Lumumba kwa ufasaha zaidi!
Kuna tatizo la wanyarwanda na warundi. Lakini kwa sasa la wachina ndilo Lina trend!
Wanajiingiza nchini kwa uratibu wa nchi zao. Na mojawapo ya majukumu ni ushushushu pamoja na kuzaliana na WaTanzania!
 
Back
Top Bottom