Kama Magufuli alikuwa dikteta, je nyie ni nani?

Kama Magufuli alikuwa dikteta, je nyie ni nani?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Naomba kuuliza swali moja.

Kelele tulizipiga sana kuwa Magufuli hayati ni dikteta na hakuwa anafuata sheria. Je, CCM ya sasa na ile ya hayati ina tofauti gani?

Naomba tusitoe mapovu bali tujadili kwa hoja
 
We jamaa si ndo ulimhakikishia kifo Ben Saanane na kweli akapotea?
 
Ila Magu was too much aisee. Ukiwa Msukuma tu au Mnyamwezi ndo huwezi ona huo udikteta wa Magu
 
Back
Top Bottom