Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.