Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?

Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️].

Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.

Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.

Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?

Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!

How?

Make it make sense. Please.
Muasisi wa nchi Nyerere alikuwa na matatizo ya akili, mpaka karithisha familia yake matatizo hayo.

Kwani Tanzania kuna vetting process?
 
Psychopaths are everywhere. Many are well-functioning individuals in society, high achievers, non-compromising types. Magufuli was a psychopath. Kabendera presents his characterization of Magufuli with a lot of conviction. I believe him when he says his book has gone through years of tedious and careful editorial and legal due diligence before final publishing.
 
Mtake radhi mbaba wa watu,kwani kigwendu sio mtu? Sio mtanzania? Hana haki ya kuchaguliwa? Mfano mbovu sana punguza chuki kwa binadamu wenzio
Bongo kila kitu kinawezekana.

Hata Kingwendu akijipanga vizuri, kesho anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu na mpaka astaafu, atakuwa na PhD za heshima za kutosha kabisa kutoka vyuo vya jalalani, n.k.

Sisi tu ndio tunalialia.
 
Sio wote wenye mafaili Mirembe ni vichaa. Kuna magonjwa ya akili mfano Narcissism ambayo ni mabaya sana na akiwa nayo mtu mwenye power ni hatari mno.
"UKichaa" ni nini? Wazimu ni nini? Mwehu ni mgonjwa wa aina gani?

Matatizo ya Afya ya Akili yako ya aina nyingi sana sana na bado mengine yanaendelea kugunduliwa.

Ukimuangalia Magufuli japokuwa sijasomea mental health alikuwa na dalili za Schizoaffective disorder.

View: https://youtu.be/jc4R8lWTl8Y?si=ac7LHCCrhAlAqAH_
 
Kwa Tanzania lolote linaweza kutokea Mkuu.

Hii Nchi usiipe dhamana sana, kuna vitu tunaamini vinafanywa kiweledi ila ukijua undani wake unabakia mdomo wazi. Ukimsikiliza MABEYO kuhusu kifo cha hayati na mchakato mzima, vilevile ukisikiliza jinsi Mtoto wa Rais Ramia (ABDUL) anavyogawa pesa. Ni ngumu sana kuamini kuwa nchi inaendeshwa kwa mifumo IMARA.

Be humble, usibishe sana na wala usikubali kwa haraka. Lolote linaweza tokea kwenye hili taifa.
Watu wanasahau,kuna jamaa kipindi alotoa katuni.Magu the police,Magu the procecutor,magu the judge..Magu.....hacha watoe watu watoa vitabu! Kama mshauriwa aligeuka kua mshauri wa washauri wake!!
 
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?

Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️].

Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.

Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.

Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?

Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!

How?

Make it make sense. Please.

Neno kichaa linatukika vibaya kwenye kiswahili kwa vile lugha haina misamiati mingi. It's better kama wakija na neno ambalo litadefine condition ya the late Bwana Mkubwa kiuhalisia. Kiuhalisia wote tunakubaliana kuwa alikuwa na mental condition but how to we call it is something else.

Hata Hitler alikuwa na tatizo la kiakili. Most of the dictators wanalo. I believe Dr. Kabendera.
 
Kichaa kafuta mgao wa umeme. Kichaa kakimbiza kampuni za mabeberu. Dowans, iptl, songas wamefurumushwa kwa akili
Screenshot_20241222-130509.png
 
Back
Top Bottom