Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Muasisi wa nchi Nyerere alikuwa na matatizo ya akili, mpaka karithisha familia yake matatizo hayo.

Kwani Tanzania kuna vetting process?
Nyerere alikuwa na matatizo gani ya akili?

Who diagnosed him?

Naye alikuwa na faili Mirembe?

Two presidents appoint you to their cabinets. You serve in government for well over a decade.

Katika muda wote huo hakuna mtu hata mmoja anayegundua una matatizo ya akili? Kwamba una kichaa?
 
Hilo la mtu mwenye faili milembe mbona dogo, tunaweza kusema hawalupitia mafaili yote yavmtu.

Kuna kipindi walisema wameteua Marehemu 😀

Kwa matukio kama haya, bado unashangaa kwann vichaa walipewa madarak 😀
 
Kikwete na Mkapa yaliwakuta tu baada ya mivurugano ya kumtafuta mgombea kwa ajili ya watu na chaguo la watu na kuangukia kwa John.Na vilevile,Kikwete alitumia hasira kumleta John baada ya kusakamwa na waliokuwa hawapendezwi na aina ya uongozi wake.Akamleta ili awakomoe na kuwaambia anawaletea "chuma" kiwakomeshe kwa kuwaumiza.
 
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?

Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️].

Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.

Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.

Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?

Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!

How?

Make it make sense. Please.
At least kuna watu “great thinkers” kama wewe mnajua maana ya “critical thinking”. Kuna watu wameamini. Believe me hii system ya serikali ya ccm ni evil, usishangae kesho utaliaona faili lipo hapa linaonyesha reference ya file lipo mirembe. Hii ndiyo system ya ccm, na wote wataamini.
 
Halafu hao wanaoroporopoka humu baba zao na Mama zao ambao walikuwa na "akili nzuri sana" kuliko Mwamba Magufuli aidha wamefariki wakiwa makapuku au wapo wanaishi hata majirani zao hawajui kama wapo! Hawa ndio mi huwaita wajinga na wapumbavu bila kujali nitapigwa ban au la!
Mpumbavu wewe nani akupige ban!? Kwa kipi cha maana ulichoandika.!? Kama unampenda sana fuata ushauri wa Zitto, nenda Chato ukalale kaburini mwake.
 
Mtu kuwa na matatizo ya akili si moja Kwa moja NI kichaa.

Matatizo ya akili ni Kama magonjwa mengine yaani Yana stages.

Mtu kushindwa kujidhibit pind ukikasirika ni tatizo la akili. (JPM anaangukia hapa)

Wenye matatizo ya akili tungali nao wengi mitaani .
 
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?

Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷‍♂️].

Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.

Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.

Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?

Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!

How?

Make it make sense. Please.
In plain language, tunachoambiwa ni kwamba members wa vikao vya maamuzi vya CCM na wateuaji wa Magufuli wote ni vichaa isipokuwa diagnoses zao wao zimechelewa tu kutoka!

Mimi nawashauri waliovalia njuga hii conspiracy theory watafute kazi nyingine ya kufanya!
 
Kivipi Nyerere alikua na matatizo ya akili?
Familia ya Nyerere ina matatizo ya afya ya akili, akili zao haziko sawa. Hata yule kaka mkubwa anayekuja hapa huwa tunaona kuna wakati yuko sawa, kuna wakati hayuko sawa. Si bure. Ni ugonjwa wa kurithi. Tuwafanyie wepesi tusiweke mengi maana ule ni ugonjwa, tena wa kurithi kabisa.

Wanaojua wanajua.
 
Back
Top Bottom