entry
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 286
- 539
Habarini wakuu,
Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me).
Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je.
1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani kwa wazazi wetu wa upande wa kiume.
2. Kwanini nishukuru wazazi wakati ni wajibu wao kulea watoto watakao leta duniani.
Kwa tafsiri ya mahari ni asante naona ina mapungufu inabidi tutafiti tujue maana halisi ya mahari.
Asante nawasilisha