CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Nalipa Mahari si kwasababu wazazi wa mke wanataka nilipe
wala si kwamba nalipa kwasababu nafurahia sana ninachofanya
kama ilivyo wakati wakutoa pesa za saloon,outings,vijizawadi,vi surprise,nk nk
navifanya kwasababu nampenda mpenzi wangu,natoa hela ya yeye aende saloon ili apendeze
nikimuona nijiskie vizuri,Mimi sivai wigi/Sibandiki Kucha/sina muonekano wa kisasa ila kwa mpenzi
wangu nitavifanya vitu vyote hivyo ili tu ajue namna nampenda,MAHARI pia nalipa si kwa ajili ya yeyote yule naweza hata Goma kulipa
ila nalipa mahari kuendeleza ile series ya kuonyesha kwa mpenzi wangu namna nampenda na nipo tyr kufanya lolote kwa
ajili yake.Ntawapa mahari wazazi wake ila ni kwasababu ya kumfurahisha na kumuheshimisha mpenzi wangu na ikitokea akaniambia hataki nitoe Mahari "kweli sitotoa" wazazi mkitaka mkaniloge Namsikiliza mtoto wenu TU.
Swala la mahari hata sijawahi lielewa na stak lielewa ninachoomba ni moyo umpate yule ambae Moyo wangu utampenda na utakua tyr kutoa gharama yyte zaidi hata ya hizo mahari bila mimi kuona shida. Mtu nitakaempenda ki maukweliiiiiii....