kwani sisi hatuendi kuwa wasaidizi wa mwanamke na istoshe tunaenda kuwataftia wajukuu zao hao upande wa mwanamke pia, kwa maoni yangu hii kitu iwe 50/50.Kwa tamaduni zetu za kiafrika,
Mahari maana yake Ni asante kwa wazazi wake kike kwa kukutunzia binti Yao mpk ukamkuta akiwa Safi kabisa (yaani bikra)
Unalipa mahari Kama shukrani kwa wazazi wake binti kwa kukupatia msaidizi Wako utakaeambatana nae ktk kwenda kuijenga familia yako au ukoo wako utakaobeba au kutambulika kwa Jina lako mwenyewe.
Mwanaume hauwezi kulipiwa mahari kwa maana
- wewe huolewi,bali unaenda kuoa.
-huchumbiwi, Bali unaenda kuchumbia.
Mahali pia Ni ishara ya ushupavu na mamlaka ya kiutawala aliyopewa Mwanaume tangu dunia hii iumbwe.
Wewe ni mtu wa dini gani??Habarini wakuu,
Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me).
Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je.
1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani kwa wazazi wetu wa upande wa kiume.
2. Kwanini nishukuru wazazi wakati ni wajibu wao kulea watoto watakao leta duniani.
Kwa tafsiri ya mahari ni asante naona ina mapungufu inabidi tutafiti tujue maana halisi ya mahari.
Asante nawasilisha
Mahari siyo asante ni "alama" ya fidia kumtoa binti kutoka mamlaka na ukoo wa wazazi wake na kumuingiza ktk ukoo wa mumewe. Ni sawa na mtu asiye na ukoo hulipa hela au mifugo kuingia ktk ukoo anaoomba kuingiaHabarini wakuu,
Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me).
Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je.
1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani kwa wazazi wetu wa upande wa kiume.
2. Kwanini nishukuru wazazi wakati ni wajibu wao kulea watoto watakao leta duniani.
Kwa tafsiri ya mahari ni asante naona ina mapungufu inabidi tutafiti tujue maana halisi ya mahari.
Asante nawasilisha
Sawa kabisa. Hii ndio maana halisi.Mahari ni bei ya kumnunua binti (mwenye K), full stop.
Hakuna cha asante wala baba yake asante
ni kama unavyoenda sokoni, unatoa pesa unapewa bidhaa.
Habarini wakuu,
Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me).
Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je.
1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani kwa wazazi wetu wa upande wa kiume.
2. Kwanini nishukuru wazazi wakati ni wajibu wao kulea watoto watakao leta duniani.
Kwa tafsiri ya mahari ni asante naona ina mapungufu inabidi tutafiti tujue maana halisi ya mahari.
Asante nawasi
Kwa mtazamo huo Hiyo ni concept ya "Barter Trade"Habarini wakuu,
Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me).
Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je.
1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani kwa wazazi wetu wa upande wa kiume.
2. Kwanini nishukuru wazazi wakati ni wajibu wao kulea watoto watakao leta duniani.
Kwa tafsiri ya mahari ni asante naona ina mapungufu inabidi tutafiti tujue maana halisi ya mahari.
Asante nawasilisha
Ni sawa Kama wote anaowatafuta ni mabikira. If not ni upuuzi tu..kitu kimeshagongwa na watu wengine unatamba.Sawa kabisa. Hii ndio maana halisi.
Ndio maana Mwanaume akigundua kitu chake alichokinunua kimechakatwa na mwanaume mwingine anakiacha na kutafuta kingine.
Good pointMahari siyo asante ni "alama" ya fidia kumtoa binti kutoka mamlaka na ukoo wa wazazi wake na kumuingiza ktk ukoo wa mumewe. Ni sawa na mtu asiye na ukoo hulipa hela au mifugo kuingia ktk ukoo anaoomba kuingia
Apataye mke amepata kitu chemaHabarini wakuu,
Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me).
Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je.
1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani kwa wazazi wetu wa upande wa kiume.
2. Kwanini nishukuru wazazi wakati ni wajibu wao kulea watoto watakao leta duniani.
Kwa tafsiri ya mahari ni asante naona ina mapungufu inabidi tutafiti tujue maana halisi ya mahari.
Asante nawasilisha
Ukigongwagongwa kabla haujanunuliwa ni sawa tu maana haukuwa na haki miliki na mtu mwingine..Ni sawa Kama wote anaowatafuta ni mabikira. If not ni upuuzi tu..kitu kimeshagongwa na watu wengine unatamba.
Kuwa mali ya uma ni uamuzi wa mtu. Na mara nyingi mnatafuna mali ya uma bila kujua. Sad!Ukigongwagongwa kabla haujanunuliwa ni sawa tu maana haukuwa na haki miliki na mtu mwingine..
Ila akijitokeza mmojawao akakununua hapo unakuwa mali halali ya aliyekununua, huruhusiwi tena kwenda kuonjesha mali ya mtu kwa wasiohusika. Vinginevyo msiwe mnakubali kuchumbiwa ili muwe mali ya umma.