[emoji4][emoji4] count me in dear sisUtanunua nakala ya movie yangu Zoë?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa
eti Paula Paul anataka kiniua kwenye muvi yakeKwanini Nelly
Sasa ukiwa villain si lazima star akuue etieti Paula Paul anataka kiniua kwenye muvi yake
mwambie anibadilishie position💨Sasa ukiwa villain si lazima star akuue eti
Teh teh, atakuwa kaona.mwambie anibadilishie position[emoji100]
Mkuu nilidhani ni tupa tupa yule wa kwenye ngoma fulana hivi ya bahati bukukumimi naongoza kupoteza hela na vitu.
juzi tu nimenunua body spray nikaisahau kwenye mgahawa.
Kuna siku nimefika home nataka kuvua saa haipo.imekatika ikaanguka bila mm kujua.
haya basi kuna siku nimekuta madogo wanachezea wallet yangu imeshachoka mbaya.niliipoteza kama wiki 3 hivi tena ilikua na hela.
sasa kwa nini movie yangu isiwe "tupa tupa"
Sent using Jamii Forums mobile app
aaaa,yule mzee wa kuwatafuna.mpaka akafumaniwa gest na mke wa mtuMkuu nilidhani ni tupa tupa yule wa kwenye ngoma fulana hivi ya bahati bukuku
All of the aboveNyakati za furaha au za huzuni boss.