Kama maisha yako yangekuwa ni Movie, ungeeita jina gani hiyo movie?

Kama maisha yako yangekuwa ni Movie, ungeeita jina gani hiyo movie?

mimi naongoza kupoteza hela na vitu.
juzi tu nimenunua body spray nikaisahau kwenye mgahawa.
Kuna siku nimefika home nataka kuvua saa haipo.imekatika ikaanguka bila mm kujua.
haya basi kuna siku nimekuta madogo wanachezea wallet yangu imeshachoka mbaya.niliipoteza kama wiki 3 hivi tena ilikua na hela.

sasa kwa nini movie yangu isiwe "tupa tupa"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilidhani ni tupa tupa yule wa kwenye ngoma fulana hivi ya bahati bukuku
 
mpaka sasa sijasikia movie ya mazombi ngoja niendelee kusubiri!!


au mods mnasemaje?
 
Back
Top Bottom