Kama majeshi ya Rwanda yaliwamaliza magaidi wa Cabo Delgado ndani ya wiki moja, hawa viongozi wetu wa ulinzi walienda kufanya nini Msumbiji?


endelea kumshobokea PAKA !! soma matukio yake utamchukia!!

Achana na media za wazungu wanamuosha
 

ugaidi ni project za watu!!
 
Ndio maana PK anatudharau.

Uganda alitusaidia yeye,na uko Mozambique pia!

Jeshi la Rwanda ni very special force lakini la kwetu liko busy kubadili makomandoo kuwa magaidi kwenye kesi za kubumba, shame!
Acha utoto...
 
Hawakumaliza chochote

Tusidanganyane
walisema hali ya ugaid (sio magaidi) ktk makazi ya watu wameidhibiti kwa kipindi hicho , since magaid hawakumalizwa so kutokea tena kwa matukio sio jambo la kushangazwa tena kweny mipaka sio kule katikati ya miji ya cabo sel gado , WATZ TUACHE KUTAFSIRI MAMBO TOFAUT NA UJUMBE ULIVYOTOLEWA , HII HALI HADI KWENYE MAISHA YA UHALISIA WATZ TUNAYO MTU ANASEMA KITU X , KISA KIMEKUKERA UNAKIBADIRI ILI TU UJIFURAHISHE
 
walidhibit matendo ya ugaidi sio kumaliza , kwann mnapenda kubadili ujumbe ? watz hiz akili za kutafsiri mambo tutakavyo tutaacha lini ? hakuna nchi inasemaga imemaliza ugaidi au kuwamaliza magaidi ila nyie ndo huwa mnabadili maneni na kusema wamewamaliza magaidi , KUMALIZA NA KUDHIBITI NI VITU VIWILI TOFAUTI
 
Kwa hiyo zile zilikuwa ni propaganda ya vyombo vya habari kuwapamba jeshi la rwanda?
kazisome hizo habari tena sio zilizoandika na wana jf bali habari au video clip ya msemaji wa jeshi la rwanda utagundua ni sisi ndo tulibadili kilichosemwa na msemaj wa jeshi la rwanda , nakumbuka hata vita ya Russia na Ukraine wapo watu kutwa wakisoma habari ya BBC wanakimbilia kuishambulia BBC bila kuangalia km ni QUOTE au REPORT , hii shida ya kutosoma habari kwa utulivu tunayo watz
 
Sasa mkuu, kwanini vyombo hivyo vilipambe jeshi la rwanda? Ili hali halikufanikiwa kuwaondosha magaidi wote kama tulivyoaminishwa?

Why Rwanda?
kasome au kafuatilie hizo habar tena , ttzo lipo kwenu mnachanganya neno DHIBITI vs KUMALIZA , wanasema DHIBITI nyie mnajiongeza mnasema WAMEWAMALIZA , haya ni maneno mawili tofauti
 
ifike muda watz muache kubadili ujumbe , hakuna sehem walisema wamewamaliza ila nyie ndo mmejiwekea maneno mdomoni , walisema wamewatoa kweny maeneo waliyoyateka pia wakasema wamedhibiti maeneo walikuwa wameyateka hapo awali pia na yale maeneo hayakuwa na utulivu , ila nyie watz ndo mmejiwekea maneno ya kumaliza mdomon , huez wamaliza wavaa vipedo maana ugaid wanafundishwa tangu madrasa
 
Tanzania imeendelea kufanya mambo yake kwa siri kubwa
Kuanzia afya za viongozi wa juu
Mashambulizi ya mipakani
Operesheni za kigaidi tunazofanyiwa na wasio wema
Kutekwa nyara walioomba hifadhi
Tanzania imeendelea kufanya mambo yake kwa siri kubwa
  1. Kuanzia afya za viongozi wa juu
  2. Mashambulizi ya mipakani
  3. Operesheni za kigaidi tunazofanyiwa na wasio wema
  4. Kutekwa nyara walioomba hifadhi ya maisha yao na wakitekwa nyara wanarudishwa nchi zao wakauwawe...
SIri nyingi sana na soon zitawaumbua
 
na wao hawakusema wamewamaliza bali wamesogeza nyuma na kuleta utulivu kweny maeneo walikuwa wanayatawala au maeneo yalikuwa na mapigano makali
 
Propaganda mkuu
hakuna propaganda bali ni ujinga wenu wakubadili kilichosemwa , hakuna sehemu media rasmi zilitangaza kuwamaliza au msemaji wa jeshi la rwanda alisema kawamaliza , walisema wamewasogeza nyuma na kukomboa maeneo mengi pia walisema wameleta utulivu kweny miji mingi ila nyie ndo mkajiongeza kusema wamewamaliza , akili zenu zimekaa kichawa sana
 
mtu asiyeweza kuendesha bandari ataweza kujilinda
 
Ulianza vizuri sana ila umehitimisha kwa chuki sana
Sasa hapo nani kafundishwa chuki Muislam au wewe
Kuongelea Dini yote ni makosa kwani hata nikiandika mengi hayatakuwa na faida kwani mmeisha jazwa sumu against Muslims
Ungeishia bila kushambulia uislam ningekuona wa maana kwani tungejaribu kuelewana ila naomba tuache kutuhumu dini bali watu wachache wenye nia ovu

Hebu niambie kama una jirani muislam aliwahi hata kuchinja kuku wako let alone mwanao au ndugu yako

Sio vizuri kuwa na chuki za kufundishwa kama yule aliekuwa waziri wa ardhi aliporopoka kanisani bila aibu na huo ndio muendelezo wa chuki zenu dhidi yetu
Aliongea na kupongezwa na wakuu wenu kwa jazba na wala hakuwa na haki ya kuongea ujinga huo
Nisamehe bure kama nimekuudhi ila umetukosea hapo na mimi nimejibu
Uwe na siku njema
 
Afadhali umeainisha ukweli kuliko wale wenye chuki ya dini
Hawaelewi kuwa PaKa ndio vurugu yote ile
 
Funua TU jicho la tatu halafu mwelewe TU anayekueleza amewamalizza magaidi.Jiulize amewamalizaje.
Wanasema haiwezekani tatua tatizo lililotengenezwa na watu wale wale,,,,ila PK kaweza🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…