Kulikoni? Au ni yale ya mkuki kwa nguruwe? Izingatiwe:
1. Binadamu wote ni sawa.
2. Suala la dini ni binafsi na la hiari.
3. Dini Kwa wenye nazo, kila mtu ana yake japo na wasiokuwa nazo pia wapo.
4. Unaongelewa je mgogoro kidini wakati kila mtu ana yake na imani disjoint, yaani zisizokutana popote?
3. Kuwa mhanga vitani ni ajali kama ajali zingine ambapo beberu huita:
"being at a wrong place at a wrong time.
Analaumiwa je mtu kwa madhila yoyote hapo?
4. Vita havichagui silaha aghalabu: eti kuulizana utambulisho vitani, nje ya ustaarabu (ukiwamo binafsi) tu wa kuwalinda watoto, wazee, wanawake, waliojisalimisha, wagonjwa, majeruhi, mateka na wa namna hiyo.
5. Vita havina kanuni za kitabuni achilia mbali zile za kiutu tu; kwamba vita ni kama mpira wa miguu kuwa kutakuwa na mpira wa faulo, kona, wa kurusha, penati, indirect kick, free kick, substitution, VAR, yellow card, red card, jezi, nk?
6. Wapalestina au HAMAS hawakufanya lolote jipya kulinganisha na Maji Maji au Mau Mau.
7. Hapo #6, watu walikufa wakiwamo wasio na hatia.
Katika hali hii kulikoni kumlaumu mpalestina kwa lolote?
Angalizo:
8. Kuugeuza mgogoro huu kuwa wa kidini na kuanza kunyoosheana au kumnyooshea yule vidole, labda itakuwa ni katika kuchagua kutojitendea haki wenyewe:
a) Kwa sababu suluhu ya mzozo wa Gaza haipo misikitini, makanisani, mahekaluni, majamatini, masinagogini, nk
b). Kuuongelea mgogoro huu kidini, hakuna tija yoyote labda kama ni katika zile mbwembwe na manjonjo tu, ambavyo kila mtu anaweza kuwa na vyake.